Ushawahi kufanya jambo gani kwa dhalula likageuka tabia?

Nilienda umakondeni mtwara nikapikiwa mboga nisiyo ipenda ikanilazimu nifanye mtindi kama mboga nilikaa wiki mbili kwaiyo ikajenga tabia kila nikila msosi mtindi lazima uwepo pembeni
 
Umeongea point, na ndicho ninachofanya then nimeondoa ukali japo mim ni mkali, ili asisite kunieleza changamoto zake,
 
Wee jamaa ungekuwa upo Morogoro ningekuita sehem jioni leo,, upige Ram kama picha yako hapo, Jack the Sparrow
Hahaha asante bwashee, hapa mwenyewe nakula pombe zangu taratibu bila papara
 
Noted " rangi ya kamba na timing"
Ila kuna muda tshirt inapanda juu nikiwa kwenye shughuli za ufundi halafu mteja ananitazama, oyaa nikimaliza kazi najiskiaga vibaya maana umri wangu hauendani na hii kitu,,
Mkanda kamba
Si uhuni be free, nakumbuka kuna siku nilienda church nikaishia kushuhudia baadhi ya watu wakinishangaa wakati ni kitu cha kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…