Ushawahi kufedheheka (kupata dharura) ukiwa safarini kwenye usafiri wa umma?

Nakumbuka miaka 3 iliopita nilikuwa naend hom KANDA MAALUM. Huwa sina utamaduni wa kula njian sasa nilipofika Mwanza nikasema ngoja nipashe mchango wa tumbo nikachukua mchemsho wa sato na baadae kidogo nikachuku mishikaki..baada ya dakika kama 30 gari ikatembea...daaaaahh kufika magu tumbo likaanza kupiga miluzi nikasema ngoja nilikaushie..safari ikaendelea huku tumbo nalo linazidi tulipofika bunda eneo moja linaitwa DDH .gari ikawa inashusha watu nikashuka namimi nikamwambia konda naenda chooni na sitaki gari iniache kumbe konda kanisoma akanipa moyo tu isijari tutakukuta kwa mbele panaitwa nyasura.bahati nzuri mazungumzo yetu na konda kuna bodaboda waliokuja kupokea watu walinisikia bas wakasema choo ipo karibu nikapanda bodaboda nikaenda chooni na gari ikatimka..baada ya kutoka ndo nikajua kuwa hapa gari imeniacha..ikabidi bodaboda aanze kazi ya kuifukuzia gari...tulipata baada ya kama dakika 20.kufika ndani ya gari nikaona gari imejaa abiria hata sijui walipandia wapi..ikabidi konda anitafutie siti nyingine..kwakweli tumbo likivuruga huwa linapoteza ladha ya safari nzima
 
Pole sana mkuu safari ni balaa tumbo likizingua
 
Mzee baba uliwaamsha wenzako woote kwa ndoto yako. inaonekana kabla ya hapo ulikuwa huwashuhudia simba live
Yap nilikua nawaona mara nyingi tuu na muda mwingine nikiwa naendesha peke yangu na naona wakaida tuu ila daa siku hiyo sijui kilitokea nini...nilipeka uoga mpaka kwenye ndoto..
 
Yap nilikua nawaona mara nyingi tuu na muda mwingine nikiwa naendesha peke yangu na naona wakaida tuu ila daa siku hiyo sijui kilitokea nini...nilipeka uoga mpaka kwenye ndoto..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] haya bhana pole jamaa
 
Siku moja home zamani hizo,home walikuja wageni wazungu,maza akawaandalis bonge la menyu.
Sisi tukawa tunangoja tu wamalize masinia yaletwe.
Sasa tulikua na housegirl mmoja mlafi mlafi hivi na ndio alikua anahudumu kule sebuleni .
Karudisha sinia la kwanza kulikua na kikombe kina mafuta ya kula.
Bwana ee katua sinia kapiga ile tarumbeta duh.
Alifkiri chai sijui.
Ayaa ilipita muda kwani.
Alitoka nduki anapita sebuleni choo kilikua nje ile pratatata pruu tatata"
Huyoo.
Wageni wanashangaa vp kuna mabomu au risasi.
Karudi hajakaa vizuri mbio tena "pratatata pra paaataa taaa praata.
Hapo anakatiza mbele ya wageni.
Aah maza safari hii kafunga mlango abaki huko huko.
Si tukagonga msosi uliobaki kiroho safi.
Karudi badae wageni wameondoka
Maza anamuuliza imekuwaje.
Akasema kulikua na kikombe hapo nimekunywa chote nilidhani chai.
Dah tulicheka maza aliposema mafuta yale wewe.
Yani siku hiyo ilikua kicheko ile speed ilikua ya jet.
Ila wazee walifedheheka sana.
'
 
Mi nilinunua nyama nikiwa safarini pale mtera kumbe ni ya punda....kilichonikuta aisee .....kufika ugenini wananiambia mtera huuza sana nyama pori
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…