Hawezi kusema...dadisi huku unaignore kila unalohisi litakuvuruga.mi nishamuulizaga mara kibao tu kuhusu mwanangu..ila hanipagi jibu .ngoja nijaribu kudadis hilo.
Alibadilika taratibu ila kuna matukio alishanipiga huko nyuma aisee yanasikitisha zaidi
Thank you dearPole sana mpenzi. Kama mtu hajapitia unachopitia anaweza fikiri ni story tu kama za Iddi Makengo ila kiukweli haya mambo yapo na yanaumiza.
Kuna muda najikuta najipongeza kwasabu sikufikiri kama maumivu yangu yangeisha na ningekua hivi nilivyo leo.
Kama bado unaipenda ndoa yako fight na pambana hadi isimame na irudi sawa.
Mara nyingine kum-ignore na kupambana kivyako inaweza saidia kumrudisha katika mstari.
Usiishi kwa maumivu kwasabu ukiumia na kukosa furaha itamuathiri mwanao.
Ukishindwa kumbadilisha basi kubali kua imeshindikana na focus on your life n child .
Praying for You.
Sent using Jamii Forums mobile app
Advice of the Day - We need more women like you and me [emoji3][emoji106] 2020Nilichojifunza kwa mwaka 2019...Njia sahihi na salama kwa mwanamke kuwa free kisaikolojia,kihisia na kimahusiano ni kuwa na uhuru wa kiuchumi..Inuka,pambana,fufua biashara yako then raha jipe mwenyewe(ila usiache kumtii coz ni mmeo...
Mungu akutie nguvu,ndoa zina changamoto sana yaani usipokuwa tough unaweza ukakimbia mchana kweupee
Thank you myMy friend sorry to say this... you have married a “moron”.
Unafikiri huyo aliezaa nae kwanini walishindwana? Huamini kuna watu wakatili?Hakuna mwanaume mkorofi mbele ya mwanamke mnyenyekevu, mlete mumeo naye aongee madhaifu yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sanaa.ila nilijua nikiwa tayari nimezamisha miguu yote ndaniUmeanza mwaka mwingine vibaya mno, pole sana. Lakini ukweli ni kwamba hiyo nyumba inakuhusu 100%, hizo hadithi zake za nyumba ni ya fulani wala hazina mashiko.
Huwa tunasema, kuingia dimbani huku mwenzako ameshafunga 1-0 kuna changamoto nyingi sana.
Remember tuliongea about this?Maumivu ya kisaikolojia ni magumu sana kuyashinda kuliko maumivu ya kimwili/physical pain...
Bi mkubwa ukisoma kwa makini maandishi yako, yaonesha kabisa wewe na mumeo kwa sasa sio mwili mmoja na sababu haswa wote mna maumivu ya kisaikolojia...
Sina uhakika sana kama Bongo kuna wabobezi wa kushauri watu wenye mkwamo wa kisaikolojia, kama wapo basi jaribu kuweka appointments nao...
La hasha ni kama nauona mwisho wa ndoa yako...so sorry!!
Thank you my
Yesuuu..huyo Mume katokea humu?? Lahaula!!!Hii ndoa haina hata miaka 5.
Kwa kweli tubakie mabachelol hivi hivi.
Nakumbuka masai dada alikuwa anatafuta sana mume humu na thread.
Akaja kumpata kimasihara.
Sent using Jamii Forums mobile app