Ushawahi kuhisi upo single ndani ya ndoa?

Ushawahi kuhisi upo single ndani ya ndoa?

mi nishamuulizaga mara kibao tu kuhusu mwanangu..ila hanipagi jibu .ngoja nijaribu kudadis hilo.
Alibadilika taratibu ila kuna matukio alishanipiga huko nyuma aisee yanasikitisha zaidi
Hawezi kusema...dadisi huku unaignore kila unalohisi litakuvuruga.

Atarudi yakizidi tafuta wahenga unaoamini watakupa mwafaka.
 
Kama huna hata senti mkopo unalipaje?

Sijaelewa kwa nini unajiliza, kisa nyumba au dushe? Kama ni dushe uko nalo hapo ni kujichukulia tu sio lazima ubembeleze, huwajui hawa viumbe nini?
Labda awe na pa kujituliza pembeni.

Sioni sababu ya kujiliza kwa ajili ya nyumba? Ndoa changa mnaanza kuwaza urithi kwani mna mpango wa kutoana roho? Mawazo ya kutamani kuanza upya sio ya kujenga bali kubomoa.

Mama lea familia yako na fikiri jinsi ya kuongeza kipato acha kujilizaliza.
 
Pole sana mpenzi. Kama mtu hajapitia unachopitia anaweza fikiri ni story tu kama za Iddi Makengo ila kiukweli haya mambo yapo na yanaumiza.

Kuna muda najikuta najipongeza kwasabu sikufikiri kama maumivu yangu yangeisha na ningekua hivi nilivyo leo.
Kama bado unaipenda ndoa yako fight na pambana hadi isimame na irudi sawa.

Mara nyingine kum-ignore na kupambana kivyako inaweza saidia kumrudisha katika mstari.
Usiishi kwa maumivu kwasabu ukiumia na kukosa furaha itamuathiri mwanao.

Ukishindwa kumbadilisha basi kubali kua imeshindikana na focus on your life n child .
Praying for You.

Sent using Jamii Forums mobile app
Thank you dear
 
Maumivu ya kisaikolojia ni magumu sana kuyashinda kuliko maumivu ya kimwili/physical pain...

Bi mkubwa ukisoma kwa makini maandishi yako, yaonesha kabisa wewe na mumeo kwa sasa sio mwili mmoja na sababu haswa wote mna maumivu ya kisaikolojia...

Sina uhakika sana kama Bongo kuna wabobezi wa kushauri watu wenye mkwamo wa kisaikolojia, kama wapo basi jaribu kuweka appointments nao...

La hasha ni kama nauona mwisho wa ndoa yako...so sorry!!
 
Nilichojifunza kwa mwaka 2019...Njia sahihi na salama kwa mwanamke kuwa free kisaikolojia,kihisia na kimahusiano ni kuwa na uhuru wa kiuchumi..Inuka,pambana,fufua biashara yako then raha jipe mwenyewe(ila usiache kumtii coz ni mmeo...

Mungu akutie nguvu,ndoa zina changamoto sana yaani usipokuwa tough unaweza ukakimbia mchana kweupee
Advice of the Day - We need more women like you and me [emoji3][emoji106] 2020

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeanza mwaka mwingine vibaya mno, pole sana. Lakini ukweli ni kwamba hiyo nyumba inakuhusu 100%, hizo hadithi zake za nyumba ni ya fulani wala hazina mashiko.

Huwa tunasema, kuingia dimbani huku mwenzako ameshafunga 1-0 kuna changamoto nyingi sana.
 
Sanaa.ila nilijua nikiwa tayari nimezamisha miguu yote ndani
 
Maumivu ya kisaikolojia ni magumu sana kuyashinda kuliko maumivu ya kimwili/physical pain...

Bi mkubwa ukisoma kwa makini maandishi yako, yaonesha kabisa wewe na mumeo kwa sasa sio mwili mmoja na sababu haswa wote mna maumivu ya kisaikolojia...

Sina uhakika sana kama Bongo kuna wabobezi wa kushauri watu wenye mkwamo wa kisaikolojia, kama wapo basi jaribu kuweka appointments nao...

La hasha ni kama nauona mwisho wa ndoa yako...so sorry!!
Remember tuliongea about this?
 
Thank you my

But if you real love him (which I believe you do) just search within yourself first, as in how have you contributed to the change of behavior of your man? A grown up person cant just change from the blue sky.. there must be a reason , even a stupid reason is a reason . Search for such reason and deal with it to bring a new life.

There is a contributor who said take him out and show him how valuable he is to you... in my opinion search for that reason which is the cause of all this behavior.

Stick with him and pay the costs of loving someone.... on the other hand DO NOT CONFUSE HAPPINESS AND TOLERANCE! If you are not happy... walk away while it is very soon.

Kingine... the best way to know a man is to talk with a man ( if you know what I mean).

AND SORY FOR MY EARLY COMMENT... I should have not said that. My apologies. You are wiser than me to reply what you replied. I salute you.
 
Ndoa haina mwalimu pambana tu ushauri utakaopewa humu kuwa nao makini
 
Back
Top Bottom