Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,638
Wewe kabla ya kuwa naye hukuwa na mtu mwingine ambaye mlishindwana?Unafikiri huyo aliezaa nae kwanini walishindwana?
Huamini kuna watu wakatili?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe kabla ya kuwa naye hukuwa na mtu mwingine ambaye mlishindwana?Unafikiri huyo aliezaa nae kwanini walishindwana?
Huamini kuna watu wakatili?
Jamani me sikuiona hiyo interview, itabidi niiangalie. Nimekumbuka kuna members walisema ikitokea umeolewa na single faza; basi angalau awe na m(w)atoto wa kiume, akiwa wa kike jiandae vizuri zaidi.Nilikuwa nacheki interview ya Nancy alofanyiwa na Zamaradi, alishauri kuwa kama haujaolewa epuka sana mwanaume mwenye mtoto tayari. Nilimuelewa sanaaaaa.
Mimi pia Nahisi hii kitu ilitokea! Mwanaume akigundua kuwa upo after mali hata kama una upendo lazima atapoteza mapenzi kwako.Mimi naona km mtoa mada alianzisha migogoro ya Mali (Nyumba) ikapelekea haya na jamaa kuona ivyo kaona km mkewe macho yake yapo kwenye mali zaidi ya kutunza familia
Sent using Jamii Forums mobile app
Suala la mali hata mimi laweza nibadilisha [emoji817]% kama mwanaumeNdiyo maana nasema hii kesi atafute watu wazima wanao jua hili suala atleast A-X if not Z.
Wataweza kumshauri kwa umakini saana. Wanaume tunabadilika kwa mambo mengi ambayo mwanamke hawezi kuyatarajia.
Hasa.
-Mali kama ulivyosema.
Shida kubwa hapa ni ubinafsi.Jamani me sikuiona hiyo interview, itabidi niiangalie. Nimekumbuka kuna members walisema ikitokea umeolewa na single faza; basi angalau awe na m(w)atoto wa kiume, akiwa wa kike jiandae vizuri zaidi.
Na mke akisema kuhusu mali tunasema ooh mbinafsi sijui anawaza tu mali kuliko utu. Sasa mtu ukope ili mjenge afu nyumba uje uambiwe haikuhusu wewe na mwanao, aseeeeeeeeeeeeee
Nilitaka kuchangia kama wewe maana mie ni muhanga wa issue kama hiyo nimemuachia nyumba mwanamke maana kwa sasa mwanamke akienda mahakamani mwanaume huna chako nikaona isiwe tabu kwa sasa naanza upyapole dada....niulize kwanza ndio yule nliyekutana mianzini zanzibar wakati upo internship?....by the way ukitaka kyachana naye kwa huo mzigo haki unayo kwrnye swala la kugawana mali...
Sent using Jamii Forums mobile app
Na mapenzi pia ni yapo upande mmoja wa mke. Mume ni kama yupo vitani wakati wote. Anatafuta tu uongee ayakuze
Mkuu Mungu wetu hujibu kwa wakati, usikate tamaa hujui ni nini kakupangia. Endelea kumwomba ipo siku atayajibu maombi yako.Mkuu nilishasaligi huko nyuma mpaka nikaona acha nikae tu labda uenda ndo Mungu kapanga hivi
Jamani me sikuiona hiyo interview, itabidi niiangalie. Nimekumbuka kuna members walisema ikitokea umeolewa na single faza; basi angalau awe na m(w)atoto wa kiume, akiwa wa kike jiandae vizuri zaidi.
Na mke akisema kuhusu mali tunasema ooh mbinafsi sijui anawaza tu mali kuliko utu. Sasa mtu ukope ili mjenge afu nyumba uje uambiwe haikuhusu wewe na mwanao, aseeeeeeeeeeeeee
Haki haya mambo ni wito dear.Jamani me sikuiona hiyo interview, itabidi niiangalie. Nimekumbuka kuna members walisema ikitokea umeolewa na single faza; basi angalau awe na m(w)atoto wa kiume, akiwa wa kike jiandae vizuri zaidi.
Na mke akisema kuhusu mali tunasema ooh mbinafsi sijui anawaza tu mali kuliko utu. Sasa mtu ukope ili mjenge afu nyumba uje uambiwe haikuhusu wewe na mwanao, aseeeeeeeeeeeeee
Hahhahaa ndo kama mbwai na iwe mbwai eeh? Ila hapo pa kumu-ignore hadi na mtoto wake mwenyewe ndo nachoka zaidi. Au kwamba anahisi huyo sio mtoto wake? ingawa mke ashasema wanafanana balaa. Hapa ni kujitafuta tu na kujipanga tena kiuchumi; kwa hizi dalili ni bora ajue kuwa huyo mtoto amejizalia mwenyewe so apambane tu kwa ajili ya mwanae.Ninaunguza nyumba aiseeeeee.
Bora aseme hainihusu mimi ya watoto.
Lakini na mtoto pia kamtoa.
Kwanza si baba mzuri anabagua watoto wake mwenyewe.
masai dada fanya tu mpango uunguze nyumba
Sent using Jamii Forums mobile app
Na walioitwa ni wachache; jikute sasa umedandia witoHaki haya mambo ni wito dear.
Kuna comments unasoma then unajipima unaona kabisaaaa scale inasoma 00[emoji134][emoji134]Na walioitwa ni wachache; jikute sasa umedandia wito
Viatu ni vikubwa sana aisee. Emotional abuse ni kitu kibaya sanaKuna comments unasoma the unajipima unaona kabisaaaa scale inasoma 00[emoji134][emoji134]
[emoji122][emoji122]Nilichojifunza kwa mwaka 2019...Njia sahihi na salama kwa mwanamke kuwa free kisaikolojia,kihisia na kimahusiano ni kuwa na uhuru wa kiuchumi..Inuka,pambana,fufua biashara yako then raha jipe mwenyewe(ila usiache kumtii coz ni mmeo...
Mungu akutie nguvu,ndoa zina changamoto sana yaani usipokuwa tough unaweza ukakimbia mchana kweupee
Yes, lakini siku realize kama hali ni mbaya kiasi hikiRemember tuliongea about this?