Mume wake hana undugu na Afande Nyundo?kabisa mkuu mm kuna mmoja japo nilikuwa nimepitapita kwingine ila it was the first real love, ana maisha yake na mm yangu ila kila tukipata muda wa kuongea huwa tunaulizana "hv kwa nn hatukuoanaga" juz kat uzalendo umemshinda kaniambia lazima atatafuta siku tukumbushie japo anampenda sana mumewe, ila kitu napenda anamjali na kumuheshimu sana mumewe, mwamba anang'aa tu, kuna siku nikamtani muache mumeo uje kwangu, akajbu natamani hvo ila nikimuacha huyu hatomaliza mwaka atakufa.
Ni kumbuAh ah mmeanza michezo Ile ya kipindi kile maana kimbu alipata tabusa sana kwel Jammiforum never get old
Ni kumbuAh ah mmeanza michezo Ile ya kipindi kile maana kimbu alipata tabusa sana kwel Jammiforum never get old
Wa konda msafiNi kumbu
YapWa konda msafi
Nadhani hapa wakulaumiwa ni Patrick kuruhusu Bond ya yeye na mama mkweAisee kusema na ukweli hiyo familia kuanzia mama na watoto wake wote hawana maadili yaani hapo haiusiani na kwamba wao ni familia ya uswahilini… familia haina nidhamu hata kidogo
Hivi mama unawezaje kwenda kwa mkwe wako hovyohovyo hivyo… tena binti yako alishaachwa et unapeleka binti yako ambae ni mdogo kabisaa akashinde nyumbani kwa shemejii yake.. inahitaji akili finyu kabisaa mpk mtu afikie hatua hiyo
Hiyo familia haina adamu na 90% mama amechangia kuharibu mabinti zake.. mtoto kulikuwa kuna uwezekano wa Patric kumuona akiwa hukohuko kwa mama mkwe wake.. yaani binti mdogo sana huyo Grace anafanyiwa ukatili na shemejii mtu.. familia ya kishenzi sana hiyo[emoji41]
Bando imekuishia mara hiiTatizo bando la kuunga....😔
Bado tu?"mwanangu ukitoka kazini tuonane nina kikao na wewe"
MatesoLeo kimyaa