Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

Kuna mwamba mmoja nimemsahau jina pia siku hizi sijamwona hapa kitambo sana, hii tabia ya kusuasua kumalizia story ilimfanya ajenge bifu na wasimulia hadithi pamoja na wasomaji... Ilikua ni mwendo wa kumpiga biti msimuliaji huku mashabiki wakimu-attack huyo mwamba ili mwandishi asije akazira kuleta mwendelezo wa story..... Utasikia LEO UMALIZE HADITHI YAKO MAANA WATU WAMEKUA WAKILALAMIKA KUSUASUA KUMALIZIA STORY, UMALIZE LEO KWA SABABU WATU WAMEKUJA KUSHITAKI KWANGU...
 
Back
Top Bottom