Ushawahi kukatazwa kula chakula ugenini Hadi baba/mama mwenye mji afike?

Haipendezi hata kidogo siyo vizuri kabisa, kuna haja ya kushiba kabla ya kwenda kusalimia ndugu au rafiki.
 
Haipendezi hata kidogo siyo vizuri kabisa, kuna haja ya kushiba kabla ya kwenda kusalimia ndugu au rafiki.
[emoji28][emoji28][emoji28]lakin sio mara zote unaweza fanya hivyo
 
Hiv mwanaume unawezaje kutegemea chakula cha nyumban au chakula cha ndugu sehem uliyofikia huo nao n ujinga
 
Ukiona huna pesa bakia kijijini huko huko misosi ni mingi halafu bure
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Actually kabisa yaani ni Bora kubakia kijijini kabisa kule misosi ni bwerere
 
Kapike chako ukile utakavyoo
 
Asilimia kubwa watanzania ndivyo tulivyo.hauwezi kula kabla ya mtafutaji hajala.
hata kipindi nipo home ulikuwa hauwezi kula kabla ya baba hajarudi.labda ukadokoe jikoni kwenye sufuria lakini chakula kikishatengwa mezani haugusi
Ingekua vizuri kama mshua anatengewa chake pembeni mliopo pigeni msosi, sisi kwetu utaratibu ulikua huo mshua au maza chakula chake kinakaa pembeni mana hii ya kungojea mtu nyie mna njaa kumbe mwenzenu ukute ashakula zake huko wa home mnataabika sio poa kabisa.
 
ni kweli.tatizo hauwezi kumpangia mama jinsi ya kufanya.kipindi hicho una miaka 10+ .lakini nidhamu hyo imetufundusha kuwa na adabu.
sio watoto wa Sasa hivi akiona tu hotpot anapakua.
Mimi hata niende kwa ndugu siwezi kukimbilia mezani kama mkuu wa kaya hayupo.
 
Nunua wako ule kama una haraka

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Ukitegemea ndugu,,, utakufa kibudu.. - Roma mkatoliki..
Mkuu huo ni uchoyo tu... Vinyesi tu hvo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…