Flashfifty
JF-Expert Member
- Feb 10, 2021
- 226
- 565
Mzee wetu alikuwa hivyo hvyo yaani mambo ya kula hayamchukulii mda
Safiiii sana hawa ndio watu wanatakiwa wawepo kwenye jamii zetu[emoji1490][emoji1490][emoji1490]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee wetu alikuwa hivyo hvyo yaani mambo ya kula hayamchukulii mda
Hivi umeelewa nilichoandika.Ndio maana mnafeli mitihani.Rudia kusoma wewe.The point is kuona chakula kama ni kitu cha kawaida sio lazima kila anakuja kwangu atoe taarifa labda kapata dharura na sehemu ya kusaidika kaona aje kwangu akifika apewe chochote kilichopo sio eti lazima mwenye nyumba awepo huo ni ushamba wa kiwango cha lami mkuu...wat is food come on ujue nashangaa sana au ni vile nililelewa mazingira ya kwetu hatujawah kupapatikia chakula kwa kweli namshukuru Mungu sana ktk hili...ne you need Jesus[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ptyuuuuuuu
Hivi umeelewa nilichoandika.Ndio maana mnafeli mitihani.Rudia kusoma wewe.
Nani alikuwa ana argue na wewe mshamba. Umezukia kwenye hoja kama zuzu.Nina uhuru wa kutoa maoni yangu.If you do not like it go hang yourself.For me you are just a piss in the Mississippi.Nothing.Peleka uko nirudie kusoma inanisaidia nn while umeandika utumbo huo utumbo go share na wanaohusudu vyakula wenzio not me and not today..am too smart for that...eti ukienda kwa watu toa taarifa ni watu wangap wanaenda kwa watu bila taarifa lakin wanakutana na familia hazina ushamba wa vyakula..tafuta wa ku argue nae not me..[emoji706]kaa humo
Nani alikuwa ana argue na wewe mshamba. Umezukia kwenye hoja kama zuzu.Nina uhuru wa kutoa maoni yangu.If you do not like it go hang yourself.For me you are just a piss in the Mississippi.Nothing.
Umaskini,ushamba,roho mbaya,uchoyo na umwinyi tu,
Ulitaka kupima tabia za nyumba ya mtu wasome kwenye msosi ukiona wanavijisheria uchwara kama hivyo ujue hao ni wabinafsi Sana na hata hawapendi kutembelewa na ndugu Wala jamaa!
Nashukuru kwetu Kwa bibi ni free lunch yaani inapikwa nguna ya kwenda na kutiwa kwenye gu bakuli Kila mtu atakula Tani yake na kama hujatosheka jiko lipo haijalishi mgeni au mwenyeji kua free unga sio wa kupima ni Kuna gunia na sharti liishe Ndani ya mwezi Mmoja!
Roho mbayaAsilimia kubwa watanzania ndivyo tulivyo.hauwezi kula kabla ya mtafutaji hajala.
hata kipindi nipo home ulikuwa hauwezi kula kabla ya baba hajarudi.labda ukadokoe jikoni kwenye sufuria lakini chakula kikishatengwa mezani haugusi
Mijitu michoyo utaijua tu!Kapike chako ukile utakavyoo
kwa hyo wewe ulikuwa unakula kabla ya baba yako kula?Roho mbaya
Ungeomba chako ule mapemaa[emoji1][emoji1]Ugenini kazi nilifikia pahala chakula cha usiku wanakula saa tano usiku asee
Good, inabidi hao wazazi wako wanilelee na wanangu[emoji28][emoji28] kiddingThe point is kuona chakula kama ni kitu cha kawaida sio lazima kila anakuja kwangu atoe taarifa labda kapata dharura na sehemu ya kusaidika kaona aje kwangu akifika apewe chochote kilichopo sio eti lazima mwenye nyumba awepo huo ni ushamba wa kiwango cha lami mkuu...wat is food come on ujue nashangaa sana au ni vile nililelewa mazingira ya kwetu hatujawah kupapatikia chakula kwa kweli namshukuru Mungu sana ktk hili...ne you need Jesus[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ptyuuuuuuu
Kweli undugu mwingi ni wa mdomoni, zamani mama alikuwa akinikataza kutembelea ndugu unless tuko nayeye nikawa simuelewiishawahi kunikuta bahati mbaya sasa nilifika nikawa natakiwa kulala hiyo nyumba.
Usiku utaratbu mpaka mshua arudi, subiri wee njaa inaniuma taarifa ya habari imeisha, Ikaja mizengwe ikaisha, likaja likipndi gani lingine nalo linaelekea kuisha mtu hajafika.
[emoji28][emoji28]kweliii mkuuuu umeongea point sanaLa mwisho ! Tupambane jamani sababu ya yote haya ni UMASKINI hamna kingine.
Maana hotpot ikifunuliwa gombania goli ikianza hati hati ya baba kukosa chakula ni kubwa ndio mana maza ana zuia kwanza beki zitulie mpira usianzishwe.
Lakini ingekua chakula ni cha kusaza sidhani kama hii ingekuwepo.. Tuhakikishe umaskini unaishia kwetu TU.
watoto wetu na vizazi vyetu visiujue umaskini una rangi gani wala ladha gani, Umaskini umebeba tabia nyingi sana ambazo ndio sababu za maisha tuishiyo sasa.
Umaskini Adui yangu namba 1, Hata shetani simchukiii kama ninavyochukia Umaskini.
Kwanza umaskini usingekuepo automaticaly shetani angekua best ake Mungu.
Kwa bibi raha sana hata kama umeshiba unaongezewa Tena na Tena[emoji23]Umaskini,ushamba,roho mbaya,uchoyo na umwinyi tu,
Ulitaka kupima tabia za nyumba ya mtu wasome kwenye msosi ukiona wanavijisheria uchwara kama hivyo ujue hao ni wabinafsi Sana na hata hawapendi kutembelewa na ndugu Wala jamaa!
Nashukuru kwetu Kwa bibi ni free lunch yaani inapikwa nguna ya kwenda na kutiwa kwenye gu bakuli Kila mtu atakula Tani yake na kama hujatosheka jiko lipo haijalishi mgeni au mwenyeji kua free unga sio wa kupima ni Kuna gunia na sharti liishe Ndani ya mwezi Mmoja!
Labda ndo Sheria za mama mwenye mjiKwann huyo mwenye mji asiwekewe kando chakula chake waliopo wale yeye akija atakula alichowekewa. Akiwakuta ndo mnaanza kula atajoin akikuta mshamaliza then atakula mlichomuandalia.
Yule jamaa nimemshangaa , Yuko firm kusupport watu wapigwe stop kusubiriaa mzembe mmoja arudiI love this safi sana...kwani chakula ni kitu gani bana wape watu uhuru kabisa tena kama kuna ambae hajashiba ingia jikoni pika tena huu ndo utu ndo upendo na familia ya hivi huwaga haikaukiwi baraka hata siku moja..bibi ametisha sana Mungu ampe miaka miaaa[emoji1490][emoji1490][emoji1490]nimependa
Ila kuna jitu moja litakuja hapa kuargue na kutoa comment zake za kilafi na roho mbaya yan utajua tu huyu kwao chakula ni big deal yan wanaona chakula ndo maisha imagine mtu anakua na husda ya chakula[emoji1787][emoji1787][emoji1487]