Ushawahi kumfanyia mwanamke hii mbinu?

Ya ,zamani sana lakin uwe na uhakika kama Huwa anakuangalia kwa jicho la matamanio au Huwa anakusifia Sifia mbele za wenzake licha ya kutokuwa na mahusiano
 
Matokeo uliyaonaje? Mwenzako nilizabuliwa kikofi kimtindo na sikuambiwa sababu[emoji23][emoji23]
Niliyemfanyia tayari tumezoeana ashajua namtaka nimfamye matusi so akaona mulemule tu ndege ana kiraru Cha genye..kwa manzi mpya labda Cha kienyeji katafurahi hako..
 
Nikiwa chuo nilimfanyia-ga madam mmoja tulikuwa darasa moja ,Mimi fresh yeye kaja kujiendeleza. Alikuwa mtu wa heshima sana ila tukiwa wawili tu (Mimi na yeye) ananiletea mazoea yaliyopitiliza.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Juzi kati hapa nimefanyiwa hivyo na demu mmoja kazini ila sikujua ilikuwa na maana gani!
 
Nilikosana na mtu aliona namchukulia poa nanukuu " Alisema hujui kama mie ni mke wa mtu " hakua na pete ila moyoni alikua kishafunga ndoa na mtu.

toka hiyo siku utani wangu kwake ukapungua kwa kifupi huo ni ujinga na utoto fanya kwa mtu wako au ambae unajua ni mwanamke mtani wako kiasi hawezi kufikilia ni ujinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…