Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
Kwa mlioelewa picha! Hii handshake ni kwa mabazazi tu😅😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha sema hii unatakiwa uwe ushaisoma saikolojia ya huyo manzi otherwise utaaibika mbele ya watu
Matokeo uliyaonaje? Mwenzako nilizabuliwa kikofi kimtindo na sikuambiwa sababu😂😂NImewahi kumfanyia ndio
Niliyemfanyia tayari tumezoeana ashajua namtaka nimfamye matusi so akaona mulemule tu ndege ana kiraru Cha genye..kwa manzi mpya labda Cha kienyeji katafurahi hako..Matokeo uliyaonaje? Mwenzako nilizabuliwa kikofi kimtindo na sikuambiwa sababu[emoji23][emoji23]