Ushawahi kutongozwa na Shoga? Yamenikuta leo wakuu

Humu jf kama yule jamaa anajiita johnson meck kila kukicha anasifia mashoga tu
 
Sasa hivi ni wazazi tuwe makini kuwalinda watoto wetu wa kiume
 
Allen kilewella aliwahi uliza "Je marekani wakichagua Rais shoga tutaacha kushirikiana nao!?"..
Tubaki zuia hii tabia kwa watu wetu wa karibu lakini kazi ya kuhukumu tumuachie Mungu.
Cha muhimu elimu na kuwatengenezea watoto hofu ya Mungu, maaana tukitegemea sheria za nchi kamwe hazitakuwa na uwezo wa kuzuia janga hili
 
Pole sana kamanda kikubwa kama umemtumia dada yake sio mbaya ila ndio dunia ilivyo
 
Hii inshu ni more than serious sana, kuna rafiki yangu mmoja wa kike ambaye pia ni ndugu nilisoma naye O-level, chuoni pia tukaingia pamoja ila vitivo tofauti zaidi ya miaka 10 sasa, alikuwa kwenye mahusiano na jamaa tangu akiwa Advance mpk wakaoana na kupata mtoto mmoja pia kwa sasa ni mjamzito, kilichomkuta yasikie tu kwa jirani...

Jamaa yake huyu ambaye kifedha naweza sema wamebarikiwa mnoo kila kitu kipo na magari ya maana tu ila kumbe mtu anapigwa pumbu. Mke aligundua baada ya kukuta txts za ajabu ikabidi aifuatilie ile no mpk akampata jamaa anayemgonga mume wake,

Ninavyoandika hapa demu karudi kwao jamaa anatishia kujiua ikabidi tuitwe kwenda kuokoa jahazi na jamaa kakiri ni kweli amekuwa akigongwa ila asamehewe anaomba tu mke wake arudi nyumbani. Ilibidi tu niondoke bila kutia neno akijiua juu yake, Pumbaafu. Ukikutana naye ni bonge la handsome na mapafyum 24hrs.
 
Kweli kwenye miti hakuna wajenzi mabasha tumetulia chance hizo hatupati
 
Aisee!!!
 

Duuh!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…