Ushawahi kutongozwa na Shoga? Yamenikuta leo wakuu

Unanyota na mapunga mkuu.mimi yalinikuta siingiagi fb kuna choko moja lipo Tanga uko sababu nilipost picha ya maeneo lilikozaliwa mkoa x.tukachat nashangaa linaniita my mara ooh nmekumic mbona hukunipigia jamon.Nika block kila kitu sitaki upumbavu kama huo
 
Wasakazieni kwangu au tuma majina yao ya fb inbox mi najua jins ya kudeal nao
 
Daaaaaaah KWELI WANAUME TUPO WACHACHE ........ [emoji23][emoji23][emoji23]. Especially sisi wenye SIX PACKS tunasumbuliwa kila siku na NA MAGASHO[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Usitetee ujinga
Ushoga kuwepo tangu enzi na enzi haimaanishi kwamba ni jambo zuri

Hivi mtu unaanzaje kutiwa nyuma aseee
Mie sijatetea ila nimesema ukweli ambao jamii haitaki kusikia,
Kuhusu suala la ushoga anayejua ni muhusika mwenyewe, wee usie husika deal na mambo yako binafsi,

Nashangaa sana ushoga ni jambo linalopingwa kwa nguvu zote, ila ni jambo linalokua na kuenea kwa kasi zaidi. Sasa pingamizi halifanyi kazi ipasavyo au ndo ngonjera za maneno tu na sio vitendo?

Mtu kufanya mapenzi kinyume na maumbile ni matakwa yake binafsi na anatumia viungo vya mwili wake ambaye ndiye mwenye dhamana hiyo, wala hamuazimi mtu, na jambo hilo linafanywa faragha sasa kero za watu wasiohusika zinatoka wapi?

Kwa mantiki hiyo ushoga ni suala pana na mtambuka ambalo linapaswa kujadiliwa kwa kina na ufasaha sio kwa muhemko, vinginevyo ni upotevu wa muda tu.

Sorry kwa maelezo haya.
 

Ebu nipe no yake
 
Jaribu kujiua halafu usife uone kama unaweza kuwa na maamuzi binafsi katika mwili wako mwenyewe... utaishia jela. Kama jambo ni kinyume na sheria za nchi na hata maandiko ukitenda ni kosa, lakini pia cha chukizo kwa Mungu kwani aliumba binadamu mke na binadamu mume ya nini jinsia moja kuingiliana...
 
Hivi hata unajua nini umeandika hapa? Hebu relax kwanza halafu uje ukiwa neutral, huu muhemko wako wala hauna maana yeyote.
 
Kwa mfano una mtoto wa kiume , then by any chance unakuja kujua kuwa anaingiliwa kinyume na maumbile, utafanyaje kama mzazi, hebu kuwa honest!
 
Lilijuwepo moja humu enzi za jukwaa la wakubwa linajieleza kabisa yaani dunia sasa hivi imefikia mwisho
 
Mkuu, vipi iliishia wapi hii ?
 
Mtu kufanya mapenzi kinyume na maumbile ni matakwa yake binafsi na anatumia viungo vya mwili wake ambaye ndiye mwenye dhamana hiyo, wala hamuazimi mtu, na jambo hilo linafanywa faragha sasa kero za watu wasiohusika zinatoka wapi? [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu hii michezo dah.

Weka na Quotation kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…