Ushawahi kutongozwa na Shoga? Yamenikuta leo wakuu

[emoji23][emoji23][emoji23]unavyopenda umbea mkuu
Mkuu, hilo ni swala zito sana lazima tujue hatima yake. Anyway, jana usiku nilikuwa Bar fulani napiga vyombo, mbele yangu kuna jamaa fulani jeupe lina ma tatoo na limevaa vesti na pensi fupi mno lilikuwa na demu wake, at first nilidhani jamaa ni lidume kama sisi bana
Baada ya muda kwenda jamaa likaanza kutingisha matako na kurembua huku linarusha mikono kama demu huku yule demu bado lipo nae, in short jamaa ukiliangalia huwezi kudhani ni bwabwa. Hiyo stori ya hao wanandoa imenikumbusha hilo jamaa la jana usiku
 
Nikimuona shoga natafakari mengi sana! Kwa wazazi wababa wenye watoto wa kiume watanielewa zaidi hapa
Hakika, kwa mwenye akili timamu lazima achukue hata dakika mbili atafakari uzito wa hili jambo. Mungu atuongoze
 
We ni choko mkomavu eeeh.....unapigwa sana mashine???.....nauliza tu,maana kwa unavyotetea ni wazi unauzoefu sana....na omba Mungu akuepushilie wanao kuwa machoko utajuta na hilo litaasisi lako.
 
Duuuh mshafukua makaburi tayari
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
We ni choko mkomavu eeeh.....unapigwa sana mashine???.....nauliza tu,maana kwa unavyotetea ni wazi unauzoefu sana....na omba Mungu akuepushilie wanao kuwa machoko utajuta na hilo litaasisi lako.
Kwahiyo unataka kuniambia Ushoga haupo? Au kila anayeeleza ukweli kuhusu ushoga bas nae ni muhusika?

Ndio maan nchi yetu viongozi huwa wanajikanyaga kwenye misimamo kuhusu jambo hili km taifa, 7bu wanajifanya ushoga haupo kimtazamo ila kiuhalisia upo tena sana,

Mwshoe wanaishia kuomba msamaha jamii na kimataifa, ngumu kumeza na hakna namna, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wee ndo ukikua utaacha, unahangaika na jambo lisilokuhusu vipi au uliingia upande huo kwa lazima? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu,kamabhutojali..

Hivi ulianza anzaje?
 
Tanzania hakuna ushoga wala corona....kuna watu wenye matatizo ya mfumo wa uzazi na yako matatizo ya aina mbali mbali, ugumba, upungufu wa nguvu za kiume, utumiaji wa viungo kinyume na maumbile....ila hakuna ushoga, upo tu nchi za jirani ndio maana tunatakiwa kuchukua tahadhari !
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka hapa mbavu sina lol.
 
Nakuona πŸ™„ nakuona umeweka kambi hapa!! 😁😁😁 Niseme nini sasa!! Sina la kusema.
 
Hata mm imenitokea mkuu ingekuw ruksa ningewek had screenshot muone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…