Ushawahi Kuwa In Love Lakini Ukashindwa Kusema?

Mtakufa vibaya nakuhurumieni washenzi nyie

Weee watu waojifunika shuka moja mi sitii neno
Sasa ndo ushauri gani huo jamani 😅😅😅Kila mtu anaishi kwake 😅😅😅.
Akipiga simu mara tatu haijapokelewa ananuna 😅.
Anakuletea vitu alivokununulia anakuwekea hapo halafu anaondoka 😜😅😅😅
Mimi ni nani nisivitumie na simpigii.
Nakomaa na movie.
 
Sasa ndo ushauri gani huo jamani 😅😅😅
ushauri ndio huo huo 😀😀
Kila mtu anaishi kwake 😅😅😅
Hii nzuriii
Akipiga simu mara tatu haijapokelewa ananuna 😅.
Hata mi ningenuna aisee
kwanini hupokei
Anakuletea vitu alivokununulia anakuwekea hapo halafu anaondoka 😜😅😅😅
mshikaji mtu wa vitendo
Mimi ni nani nisivitumie na simpigii.
unasusaje sasa kipenzi changu
Nakomaa na movie.
Kazaaa mpka mtu atoke damu😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…