Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Masikitiko makubwa ndugu yangu fafanua๐๐Unaonekana ni fataki
Unapenda michepukoMasikitiko makubwa ndugu yangu fafanua๐๐
JIRANI UMEKUA ADIMU SANAAA ๐ฅShenzii sana huyu
Kweli ๐๐ nasikitika sana kwa hii judgement yakooo kwanguUnapenda michepuko
Nashukuru, malezi udogoni kabisa yalichangiaUnanidhamu sana hongera
Una akili kuna sehemu niliona anasema ana mchepko akawa anapewa ushauri na ndugu yake katika imani๐๐Unapenda michepuko
Asanteepole
Ila una mcheat mke wako sio๐Nashukuru, malezi udogoni kabisa yalichangia
Nikiwa mdogo VIDUDU mwalimu wangu aliwai nishitaki kwa wazazi kua sichangamki na kucheza na wenzangu
Nipo jirani umenisusaaJIRANI UMEKUA ADIMU SANAAA ๐ฅ
Ukisema ivyo nasikitika napata huzuni ๐Ila una mcheat mke wako sio๐
Kwahiyo mchepko mume achana ๐๐Ukisema ivyo nasikitika napata huzuni ๐
Nipo naku study hope study itaenda powaaaNipo jirani umenisusaa
Unaogopa kutekwa et๐๐
Nashindwa kwelewa.Yes, her name is Amina... Akiona hii comment lazima ajue..
meghan markle huyu nili catch soo hard feelings na ni mkubwa kwangu pia.. I like intellectual women.. Women who can make me think, women ambao watanipa uchangamfu wa akili.. Ndo maana huwa nafukuzia mishangazi... Kama huyu binti kiziwi naye kaingia kwenye rada sasa..
Na ww ulikuwa ila baada ya kuona ww n mgumu imenibidi nishushe silaha chini sadly
Muone kwanza ๐Nipo naku study hope study itaenda powaaa
Uki date na huyu mtoto na log out jeyihefuNashindwa kwelewa.
Bora nikapiganie katiba mpya!โฆโฆUki date na huyu mtoto na log out jeyihefu
Sisy nimecheka upo tayari kupambana na CCM ๐๐Bora nikapiganie katiba mpya!โฆโฆ
MashaAllah huna baya maa๐ฅฐNampenda kama mdogo wangu , ye mwenyewe anajua, i like stubborn people huwa kuna part naielewa kuhusu wao au najiona ndani yao. Stubborn people are my people tbh.
Love you too babes mwenyewe unajua navyokukubali ๐ฅฐ๐ฅฐNdio maana hata kwa wasichana nawapenda wadogo zangu wewe, Seran na Ephen. Tena Ephen huwa namfananisha na mtoto mmoja wanamuita Rais wa first year kule insta ๐
Halafu uzi wako huu sikuusoma unajuaโฆ ni uzi wa confession?Umewahi kuwa in love na mtu lakini ukashindwa kabisa kumwambia? โค๏ธ
Ni nini kilikufanya ushindwe kufunguka?
Kwa sisi baby girls, mara nyingi tunaamini ni bora kubaki kimya kuliko kuonekana tunajishusha au kukosa maadili
Au kuhofia tutaonekanaje kwa muhusika na watu wengine
Ndiyo maana wengi huchagua kuficha hisia zao, wakibaki kuonyesha ishara tu huku wakigugumia moyoni
Kama mwanaume hajajiongeza, basi ndiyo hivyo tena๐คญ
Kwa wanaume, huonekana ni rahisi zaidi kutupia ndoano, ingawa wapo pia ambao ni madomo zege
Na hawa madomo zege hua wananishangaza hivi nyie wanaume kuna ugumu gani kwenye ku tongoza ๐คฃ๐คฃ
Je, umewahi kumpenda mtu kiasi cha falling deeply in love, lakini ukashindwa kumwambia? Uoga wako ulikuwa ni nini?
Kulombana sio anasa
ShesRise_1 โ๏ธ
Toa ya moyoni ungamaaa๐ซฃHalafu uzi wako huu sikuusoma unajuaโฆ ni uzi wa confession?
Nasindwa kualewaaa upo single lini au kwenye huu uzi tu๐ ๐ ๐Anhaa mi tangu niwe single kuna kamanda wa Chadema nimegundua nampenda, shida nikimfungukia atahisi nimetumwa ๐ Kwahiyo nimekausha!
Sikuamini ulongooooo๐๐๐๐Makamanda kama kuna mtu ana connection amwambie MMM kuwa nampenda sana ๐๐
Lionee na komwe lake... ๐Uki date na huyu mtoto na log out jeyihefu