Ushawahi Kuwa In Love Lakini Ukashindwa Kusema?

Mda mrefu tu sema nilikuwa naogopa kukwambia, au unataka nikuazishie thread sasa hivi?? .

Heb anzisha tuone πŸ˜…πŸ˜…
Udhaufu wangu ni kwako tu ShesRise_1, ni sawa na mtu aliye kwenye kina kirefu cha maji hakika ni wewe wa kuniokoa😍😍
Aiseee hii ni mpya kwangu sawa asante mkuuπŸ™πŸ™
 
In love sidhani ila kuna wale crushes yaani kila ukimuona unasema mume si huyu haha unajiweka tu kwenye mazingira ya kuwa approached Ila mwisho they end up disappointing you
Dah 😒😒
 
πŸ˜πŸ’–πŸ’“πŸ’žπŸ’˜πŸ’•β™₯οΈβ€οΈπŸ«‚πŸ™ŒπŸ’–πŸ’“πŸ₯‚πŸ‘ŒπŸ™…β€β™‚οΈβ€οΈβ™₯οΈπŸ’˜πŸ’•πŸ™πŸ˜πŸ˜πŸ†—οΈβœ…οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…