Ushawahi Kuwa In Love Lakini Ukashindwa Kusema?

Babu please kama watu wakutafutiwa wanadumu zaidi ni pointie mmoja unipe
Ukiwa tayari utanijulisha, first born wangu anataka kuongea mke wa pili mwezi December.

Huyo nina uhakika mtadumu kama ilivyo Mimi na bibi yenu πŸ€—
Vua nguo nione hiyo radhi
Tayari nimevua, njoo ujichotee radhi za Wazee 🀭
 
Walojiunga 2014 kurudi nyuma wafungue kuna mmoja nina jambo nae
Mh ilo jambo basi mshangazi mmoja unaenda kupoteza ndoa na mirathi kisa kabinti ka jyfu
 

Attachments

  • FB_IMG_1783533164721.jpg
    71.4 KB · Views: 16
  • FB_IMG_1783533164721.jpg
    71.4 KB · Views: 14
The fear is real. Nimeshawahi kumwita demu nikaishia kumkodolea macho akabakia a nacheka tuu. Ila angalau nilikuwa handsome akajua nini nataka a kafanya nimzoee kilichofuata ni mazoea na mizagamuano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…