Ushawahi Kuwa In Love Lakini Ukashindwa Kusema?

Jf hakuna mtu ashashindwa na hilo wote mistari tunaijua kwa madem tena pisi kali afu kikubwa zaidi tunamiliki migari, mijumba mikubwa na mkwanja kila mfuko demu atachomoaje beshte. Msema kweli mpenzi wa mungu hadi mda huu kuna nesi nampenda hos ya mdm kwa mwenye anaijua tatizo sio domo zege no tatizo ni ule uchangamfu anaokuja nao kwangu yaani anajiamin kiasi kwamba nashndwa kumwambia ila bas tu.
 
The fear is real. Nimeshawahi kumwita demu nikaishia kumkodolea macho akabakia a nacheka tuu. Ila angalau nilikuwa handsome akajua nini nataka a kafanya nimzoee kilichofuata ni mazoea na mizagamuano
Unajisifia u hand some 🤣🤣🤣
 
Nimependa hiyo aya ya Mwisho kabisa 😜
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…