Hahaaa Mimi siko kwenye competition yoyote just misimamo yangu tu maana kila mtu Ni unique kwa namna yake why ni compete na wanaume, competition yangu ni maisha yangu, so hzo inferior or whatever you call I don't give a https://jamii.app/JFUserGuidehuyu anapenda kushindana na wanaume.. wanawake dizain hii wanajiona inferior sana so huwa wanabehave aggressively ili kuficha ile feeling ya inferiority.
Wakukulana wako wengi si akanunue, Mimi mtu hajanioa asinipangie kwa kweliNdio wakae miezi mi3 bila kulana?
#YNWA
Hii ni out of this topicSo kwa ufupi hauko kwenye mahusiano rasmi?
Mimi siishi kumfuraisha mtu Ila nafanya kitu moyo wangu unapenda ka sijisikii sifanyi sio mapenzi tu hata Mambo mengine, kwangu upendo sio ngono tu maana nikitaka kujipa raha mwenyewe naweza, naweza tumia chochote kuliko mtu,
Pia I don't expect from anyone wallah
Labda game yako haimridhishi, anaona unamchafua tu?Anaitikia tu ila siku husika anapatikana muda ukiwa umeenda kifupi inakua haiwezekani kuja.
Nakushauri umpime uliyenaye huenda amepungukiwa na chembe za uanaume.A man can not be controlled.Na mwanamke aliyependa kweli utamtambua tu, Anajiamini 100% na anajua hitaji la msingi la mwenzi wake.Unajisifu haumpi ukichunguza utakuta kuna mwingine nje anatoa ushirikiano vizuri fumbua na kufumbua utakuta si wako tena!Nishawi kupenda Sana Tena ninaye mpenda ndo simpi kabisa dyudyu la yuyu
Staki kusumbuana na mtu I live with my own principle raha hujipa mwenyewe tu na mapenzi ni zaidi ya uzinzi kwangu Mimi,mapenzi ni kufurahishana, wewe unasema huishi kwa kufurahisha mtu.
kwa ufupi nnaweza kusema kuwa wewe hufai kuwa kwenye mahusiano, utampelekesha sana mwanaume wako, na ukimkuta na yeye k8chwa kigumu atakupasua tu.
that attitude right there.Hahaaa Mimi siko kwenye competition yoyote just misimamo yangu tu maana kila mtu Ni unique kwa namna yake why ni compete na wanaume, competition yangu ni maisha yangu, so hzo inferior or whatever you call I don't give a ****
Apungukiwe nazo tu I don't care what's matter's to me is my happiness basi, hafu Mimi si control mtu Tena yeye hunipenda kunitafta daily in short tumeelewana vizuri our chemistry na hatujawahi gombana,Nakushauri umpime uliyenaye huenda amepungukiwa na chembe za uanaume.A man can not be controlled.Na mwanamke aliyependa kweli utamtambua tu, Anajiamini 100% na anajua hitaji la msingi la mwenzi wake.Unajisifu haumpi ukichunguza utakuta kuna mwingine nje anatoa ushirikiano vizuri fumbua na kufumbua utakuta si wako tena!
It's normal just depends on ur perceptionsthat attitude right there.
Bonge la sign ya danger.View attachment 1515213
Usitumie kigezo cha kutokuolewa ndiyo usimpe! Uchoyo ndiyo tabia yako! Hata ukiwa ndani ya ndoa haitobadilisha feelings zako! Ndio wale mnawapangia waume zenu mara moja kwa mwezi! Una safari ndefu sana kuwajua wanaume! Unaonekana ni mtu wa mashindano sana kwenye mahusiano.Wakukulana wako wengi si akanunue, Mimi mtu hajanioa asinipangie kwa kweli
Apungukiwe nazo tu I don't care what's matter's to me is my happiness basi, hafu Mimi si control mtu Tena yeye hunipenda kunitafta daily in short tumeelewana vizuri our chemistry na hatujawahi gombana,
So hyo ya kuchepuka achepuka tu as long as my papuchi haitumiki na kutiwa gundu I'm happy.
Mimi stoi kiungo changu Nina mamlaka nacho mtu asinipangie uzinzi eti in the name of love that's never kwangu walah sio uchoyo maandiko yenyewe yamekataza uzinzi why nizini hovyo, ka ni upendo na ni ukose tu,Usitumie kigezo cha kutokuolewa ndiyo usimpe! Uchoyo ndiyo tabia yako! Hata ukiwa ndani ya ndoa haitobadilisha feelings zako! Ndio wale mnawapangia waume zenu mara moja kwa mwezi! Una safari ndefu sana kuwajua wanaume! Unaonekana ni mtu wa mashindano sana kwenye mahusiano.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]that attitude right there.
Bonge la sign ya danger.View attachment 1515213
Mimi siishi kumfuraisha mtu Ila nafanya kitu moyo wangu unapenda ka sijisikii sifanyi sio mapenzi tu hata Mambo mengine, kwangu upendo sio ngono tu maana nikitaka kujipa raha mwenyewe naweza, naweza tumia chochote kuliko mtu,
Pia I don't expect from anyone wallah
mim mwenyewe nimeona hapo anajisifia anajichua.. inasikitisha sana kwa mwanamke kuanika aibu kama hii hadharani.Unapiga puli sio ? au sijaelewa vizuri. Nimesoma ulivyoandika nimegundua kitu wewe kama sio mid twenties basi ni early twenties na ni mwanafunzi, sasa mi kakako nakupa ushauri, usitukane mamba kabla hujavuka mto, umri ukienda enda kidogo utakuja kuelewa.. Kwa namna ulivyoandika inaonekana una attitude fulan ivi mwanaume mwenye anamsimamo na mwanaume kweli huwez kuwa nae. UKO VERY CONTROLLING, wanaume hawapendag hiyo kitu...
mim mwenyewe nimeona hapo anajisifia anajichua.. inasikitisha sana kwa mwanamke kuanika aibu kama hii hadharani.
Mimi sijui puli ni kitu gani hicho?Unapiga puli sio ? au sijaelewa vizuri. Nimesoma ulivyoandika nimegundua kitu wewe kama sio mid twenties basi ni early twenties na ni mwanafunzi, sasa mi kakako nakupa ushauri, usitukane mamba kabla hujavuka mto, umri ukienda enda kidogo utakuja kuelewa.. Kwa namna ulivyoandika inaonekana una attitude fulan ivi mwanaume mwenye anamsimamo na mwanaume kweli huwez kuwa nae. UKO VERY CONTROLLING, wanaume hawapendag hiyo kitu...