Ushawahi kwenda sehemu, baada ya kukuona wakakuchukulia poa, baadaye wakajua wewe ni mtu wa aina gani, wakaanza kukuonea aibu?

Ndio dawa yao hawa receptionist...kuwagegeda tuu. Tena kabla ya kumgegeda akikuvua boxer unamuamrisha iamkie mbooooo
wacha nikuulize mzabzab hata usipomfanyia hivyo lakini ile akikujibu nyodo alafu wewe mwanaume uliyeenda kupata huduma ukampa makavu (yaani ukamkaripia) kwanini huwa wadada wengi wananywea yaani hawakujibu chochote wewe mwanaume?

cc Carlos The Jackal
 
They like to play with our balls...so ukimkaripoa anona eeh kumbe huyu sio wakuchezea mbupuz zake
 
Daima!
 
Mwenye nyumba nunua hata gari ndogo aise
 
Nakumbuka mwaka 2006 tulikua na Meja General jirani yetu sasa ni marehemu na alikua Mkurugenzi Mkuu wa Costech enzi hizo, tulikua tunatoka Arusha kwenda Musoma via Serengeti .
Tukavuka vizuri geti la Ngorongoro, kufika Nabi geti ni saa 12 jioni, Walinzi wa gate wakatupiga mkwara kuwa hawafungui gate ,turudi Ngorongoro..
Meja General akawa ametulia kwa kipindi hicho alikua na cheo cha Brigedea , tukabishana nao yeye mzee ametulia tu kwenye gari ilikua Nissan Patrol- PLATE NUMBER ya shirika maaa alikua anatumia gari ya Costech kutembelea wakati wa liki, kama dakika 15 mzee akashuka kwenye gari akatoa kitambulisho.

Hiyo siku ndo nilijua watu wenye vyeo vya chini wanavyojua kupaparika, yaani Askari game alimwambia mwenzake kwa sauti fungua geti haraka tumekwishaaaaaaaa ni kama alitaka kujinyea saluti akawa anapiga hovyo hovyo tu kila Mara kwa kila mtu..
 
Anyway tushajua kwamba unamiliki mkoko wa maana kitu cha BMW.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…