Ushawahi zimikiwa na jiko la gesi ukiwa unapika?


Hii kitu imenikuta muda huu

Nimeamka na njaa nikaona nikaange nyama,gas imetosha kufanya mafuta yapate moto tu....imezima

Hapa natafuna carrots na juice kupoza njaa nilale.
 
Gas haisemwi
 
Ni vizuri ukachunguza toka unanunua gesi mpaka kuisha kwake Appx hukaa muda gani?

Atleast utakua japo na idea kua gesi ipo karibu kuisha,so utakua umejiandaa kwa lolote.
 
Mara nyingi sana inafikia tamati nikiwa napika, uzuri ninayo mitungi miwili mikubwa na jiko dogo. Hivyo u-connect mwingine na kuendelea.
Imeshawahi kuniishia at the same time. 🤣🤣🤣

Yaani exact same time wa Kilo 15 na wa kilo 6.
 
Bora uzimikiwe na gesi kuliko mb●● ilale ukiwa kwenye eneo la maingizo
 
Bachela kama bachela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…