Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 22,527
- 79,976
Ishawahi kunitokea hii, usiku napika zangu chips ndiyo nimeweka hata hazijaiva jiko si likazima, aargh ni usiku na sikua na pesa nilichofanya nikatoa viazi kwenye mafuta nikalala na njaa tuš¬š
Na nahisi hata sahivi inakaribia kuisha gas gani tangu November 2020 hadi leo ipo tu mmh , japo huwa sipiki mara nyingi ila...
Hii kitu imenikuta muda huu
Nimeamka na njaa nikaona nikaange nyama,gas imetosha kufanya mafuta yapate moto tu....imezima
Hapa natafuna carrots na juice kupoza njaa nilale.