Ushawahi zimikiwa na jiko la gesi ukiwa unapika?

Ushawahi zimikiwa na jiko la gesi ukiwa unapika?

Ishawahi kunitokea hii, usiku napika zangu chips ndiyo nimeweka hata hazijaiva jiko si likazima, aargh ni usiku na sikua na pesa nilichofanya nikatoa viazi kwenye mafuta nikalala na njaa tušŸ˜¬šŸ™Œ

Na nahisi hata sahivi inakaribia kuisha gas gani tangu November 2020 hadi leo ipo tu mmh , japo huwa sipiki mara nyingi ila...

Hii kitu imenikuta muda huu

Nimeamka na njaa nikaona nikaange nyama,gas imetosha kufanya mafuta yapate moto tu....imezima

Hapa natafuna carrots na juice kupoza njaa nilale.
 
Ishawahi kunitokea hii, usiku napika zangu chips ndiyo nimeweka hata hazijaiva jiko si likazima, aargh ni usiku na sikua na pesa nilichofanya nikatoa viazi kwenye mafuta nikalala na njaa tu[emoji51][emoji119]

Na nahisi hata sahivi inakaribia kuisha gas gani tangu November 2020 hadi leo ipo tu mmh , japo huwa sipiki mara nyingi ila...
Gas haisemwi
 
Ni vizuri ukachunguza toka unanunua gesi mpaka kuisha kwake Appx hukaa muda gani?

Atleast utakua japo na idea kua gesi ipo karibu kuisha,so utakua umejiandaa kwa lolote.
 
Mara nyingi sana inafikia tamati nikiwa napika, uzuri ninayo mitungi miwili mikubwa na jiko dogo. Hivyo u-connect mwingine na kuendelea.
Imeshawahi kuniishia at the same time. 🤣🤣🤣

Yaani exact same time wa Kilo 15 na wa kilo 6.
 
Jamani gesi ni nishati inayorahisisha mapishi kwa haraka.

Ila ina kero yake jamani wakati ndio unapika inaweza isha ghafla na pengine kwa wakati huo huna hela ya kununua tena au unanunua mbali.

Unaanza hangaika na kuwasha mkaa nk.

Hebu tueleze ilikuwaje.

Bora uzimikiwe na gesi kuliko mbā—ā— ilale ukiwa kwenye eneo la maingizo
 
Ishawahi kunitokea hii, usiku napika zangu chips ndiyo nimeweka hata hazijaiva jiko si likazima, aargh ni usiku na sikua na pesa nilichofanya nikatoa viazi kwenye mafuta nikalala na njaa tušŸ˜¬šŸ™Œ

Na nahisi hata sahivi inakaribia kuisha gas gani tangu November 2020 hadi leo ipo tu mmh , japo huwa sipiki mara nyingi ila...
Bachela kama bachela
 
Back
Top Bottom