Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Why unahisi hii story inafanana na jirani yako mkuu?😀Jirani nimesha kufahamu[emoji23][emoji23]
Umesahau wapi sema tu ulitaka kutukana😀😀Kuna neno nilitaka kuandika ila spelling zake nimezisahau.
Eeh kama hivi.Umesahau wapi sema tu ulitaka kutukana[emoji3][emoji3]
Hahahaha,Mimi hiyo siku nimepania wali nazi, samaki nazi...
Nimekuna nazi 3 nimechuja. Nimekatakata bamia na nyanya chungu...nimeloweka mchele...
Ile nimeweka sufuria tu ya mboga nianze kupika jiko likazima. Na nilikuwa na sh. 30,000 tu ya kunifikisha mwisho wa mwezi.
Nililiaaaaa........
Duh pole mkuuImeisha muda si mrefu hapa alafu nimetoka kuinjika maharage ya kukopa kwa Mangi. Akiba nina 1000 tu... hapa navizia watu walale nikaokote mbao nichemshe nje huko na moto wa kuni maana hali sio hali
Hakuna. Yaani niliweka tui na vikorombwezo kwenye friji nikaenda kununua chips nikala.Hahahaha,
Ulienda kujaza ili umalizie pishi lako.
Kwann mdada halafu hupiki?Ni kimtungi kidogo kabisa sijui hata imekuaje[emoji23] ila huwa sipiki mara nyingi na huwa napasha maji ya kuoga kupika kidogoo
Gesi ikiisha huwa inakata stimu kweli.Hakuna. Yaani niliweka tui na vikorombwezo kwenye friji nikaenda kununua chips nikala.
Nilikuja pika siku 2 baadae baada ya kutumiwa na ya kutolea
Kawaida tu.. kikubwa uhaiDuh pole mkuu
Au multcooker inapika mboga
Unaosha unaweka wali
Unaosha asubuhi unaweka chai[emoji23]
Ndiyo huwa sishindi home, narudi jioniiKwann mdada halafu hupiki?
Au huwa haushindi home.
Haha ahsante, kuna mambo mengine yanakera na kusikitisha kweli ![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] polee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha tu mkuu,, hivi sijui huwa vinaambiana, unakuta mkaa umeisha,mafuta kula yameisha, sukari, mchele kagesi nako unapika mara kanaanza kusinzia daah!
Hiyo ni ngumu kujua mkuu inabaki bahati na sibu tuHuwa nafanya hivyo lkn hutajua muda gani inakata
Si bora hata uwe na huo mkaa,mimi mara mbili nimeishia kula mboga kabla hata sija kamilisha mapishi...Jamani gesi ni nishati inayorahisisha mapishi kwa haraka.
Ila ina kero yake jamani wakati ndio unapika inaweza isha ghafla na pengine kwa wakati huo huna hela ya kununua tena au unanunua mbali.
Unaanza hangaika na kuwasha mkaa nk.
Hebu tueleze ilikuwaje.
Umenichekesha, sasa unakausha ndiyo una maana gani? Kuwa hauli au [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee sometimes nanunua, au nakausha tu
Huwa unakula hotelini wee?Ni kimtungi kidogo kabisa sijui hata imekuaje[emoji23] ila huwa sipiki mara nyingi na huwa napasha maji ya kuoga kupika kidogoo