Ushenzi unaofanywa na wahindu kwa Waislamu India ni wa kupitiliza

Ushenzi unaofanywa na wahindu kwa Waislamu India ni wa kupitiliza

NAMNA YA KUJUA HADITHI ILIYO SAHIHI NA ILIYO DHAIFU.

Ndugu msomaji tumeulizwa swali na ndugu yetu Hamza M Mikana katika comment za madarsa yetu lakini kutokana kuzuka gogoro hasa kwa wale wapenzi wa kutumia hadithi dhaifu mpaka huulizwa maswali yasiyo tarajiwa kuuliza mtu anaejinasibisha kuwa yeye ni msomi.

Kwa faida ya wote tunaleta tena somo hili kwenu ili ifahamike kinacho sababisha hadithi kuwa sahihi au kuwa dhaifu.

Kigezo cha hadithi kuwa sahihi ni kupatikana masharti matano yafuatayo.

Hata hivyo wapo wanaohoji juu ya kanuni hii, je kuna dalili juu ya vigezo hivyo vitano? Jibu vigezo vyote vimeendana na dalili kama ifuatavyo.

الحديث الصحيح.

وهو ما اتصل سنده بنقل العدل، الضابط عن مثله ولم يكن شاذاً ولا مُعللاً،

(a) Sharti la kwanza ni kuungana Sanadi, mpokezi iwe kweli kapokea kwa mtu anae mtaja ili asimulie kilekile alicho kipokea kwake ili kulinda ukweli, Qurani inatutaka tuwe wakweli.

Dalili juu ya hilo.

يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا اتَّقُوا اللَّهَ وَكُونُوا مَعَ الصَّادِقِين.

Enyi mlio amini! Mcheni Mwenyezi Mungu, na kuweni pamoja na wakweli ( Attawbah 119)

(b)Pili mpokezi awe ni mtu muadilifu,Qurani inatutaka tuwe waadilifu.

Dalili juu ya hilo.

اعْدِلُوا هُوَ أَقْرَبُ لِلتَّقْوَىٰ ۖ وَاتَّقُوا اللَّهَ ۚ إِنَّ اللَّهَ خَبِيرٌ بِمَا تَعْمَلُون.َ

Fanyeni uadilifu. Hivyo ndio kuwa karibu mno na uchamungu. Na mcheni Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu anazo khabari za mnayo yatenda (Maidah 8).

(c)Tatu mpokezi anatakiwa kuhifadhi hadithi ima kifuani au kuandika, Qurani inatutaka kuhifadhi mambo na inapobidi kuandika ili kutunza kumbukumbu.

Dalili juu ya hilo.

وَلَا تَسْأَمُوا أَنْ تَكْتُبُوهُ صَغِيرًا أَوْ كَبِيرًا إِلَىٰ أَجَلِهِ ۚ ذَٰلِكُمْ أَقْسَطُ عِنْدَ اللَّهِ وَأَقْوَمُ لِلشَّهَادَةِ .

Wala msipuuze kuliandika deni likiwa dogo au kubwa mpaka muda wake. Hayo ndiyo haki zaidi mbele ya Mwenyezi Mungu, na ndiyo sawa zaidi kwa ushahidi (Albaqarah 282)

(d)Nne Mpokezi anatakiwa asitofautiane na aliye mtangulia, Qurani inatutaka kutunza amana kama tulivyo ipokea bila ya kubadilisha chochote maana hadithi ni amana zifikishwe kwa walengwa kama zilivyo simuliwana Mtume swalla llaahu alayhi wasallama, hivyo mpokezi yatakiwa aisimulie kama alivyo ipokea.

Dalili juu ya hilo.

إِنَّ اللَّهَ يَأْمُرُكُمْ أَنْ تُؤَدُّوا الْأَمَانَاتِ إِلَىٰ أَهْلِهَا

Hakika Mwenyezi Mungu anakuamrisheni mzirudishe amana kwa wenyewe (Annisaai 48).

(e)Tano isipatikane hila kwa mpokezi kama tabia ya kusahau au uzee sana au utoto sana, au ugonjwa wa akili ikawa ni sababu ya kupoteza kumbukumbu.

Dalili juu ya hilo.

عن عائشة عن النبي صلى الله عليه وسلم قال : رفع القلم عن ثلاث عن النائم حتى يستيقظ وعن الصغير حتى يكبر وعن المجنونحتى يعقل.( النسائي :3432)

Amesimulia mama Aisha, kutoka kwa Mtume swalla llaahu alayhi wasallama, lmeinuliwa kalamu kwa watu watatu, Aliye lala mpaka atakapo amka, Mtoto mdogo mpaka akikua, Na mwendawazimu mpaka akipona (Anasaai 3432).

Hizo ni shuruti za kuwa hadithi ni sahihi na zote zimeendana na Qurani na Sunna.

VIGEZO VYA HADITHI KUWA NI DHAIFU.

الحديثالضعيف.

وهو ما لم يجتمع فيه شروطالصحيح ولا شروط الحسن.

Hadithi dhaifu wakasema ni kuwa kinyume chake vigezo vya hadithi sahihi kama ifuatavyo.

(a)Kutokuwepo muunganiko wa sanadi ikawa mtu anasimulia kutoka kwa fulani hali ya kuwa huyo anaemtaja hakupokea kwake au hawakuwahi kuonana kabisa.

(b) Kukosekana uadilifu kwa mpokezi akawa siyo mtu mwenye kuaminika katika jamii.

(c) Mpokezi kukosa sifa ya kuhifadhi hadithi iwe kifuani au kuandika.

(d)Mpokezi kutofautiana na aliye mtangulia kuipokea hadithi hiyo.

(e) Mpokezi kuwa na hila itakayo mpelekea kuto aminika kuhifadhi kwake, kama kuwa msahaulifu au kuugua kichaa n.k.
Maana naona msomi unasema ushoga ni wa wakristo pekee je na hii adithi:Idadi 16,245 aliyosema Mu'wayia Ibin Sufyan juu ya mtume muhamad ni uongo au???
 
Nami nakazia hapo hapo,hii dini ni takataka huko madrasa wanafundishwa kuwachukia watu ambao sio waislamu
Ndio wanaoongoza kwa ubaguzi na ukatili. Kwahiyo wasilalamike kwa kitu ambacho wao wamekiasisi.
 
Kwahiyo wametunga mkuu au sababu ni imanii yako unakataa.Ebu nitafutie waislamu wengine wanisaidie hapa ndugu yangu maana nimeshutika kweli kweli.Hadithi Idadi: 26,245.Kwahiyo Mu"waiya Ibin Abu Sufyan ni muongo msomi kuhusu haya ya uhusiano wa jinsia moja???
Zilete hapa nikuchambulia!

Swali langu msomi mi kwamba Mu"wayia Ibin Abu Sufyan ni muongo katika hii adithi:16,245
Hadithi dhaifu nimekupata hadithi katika usilam zipo aina ngapi kama nne
 
Hadith dhaifu yaani haipo elewa Kuna hadithi sahili ,dhaifu ,Hasan no nyingi mno ili kuweka watu kweny mstari mmoja lazima uwe na elimu.

Na msingi wa uislamu ni elimu wewe hujui kitu ndo maana tuna Qur an ambayo simply inasaidia kugundua hadithi zote maana kila mtu alikuwa na yakuongea je alionyesha ishara na kuthibitisha matamshi yake, je ni swahaba anayejulikana angalia uliyemtaja!.
Kweli waislamu hawamjui Mu'waiya ibin Abu Sufyan????Au wewe ndio humjui msomi????
 
Sawa uíslamu una mapungufu yake lakini pia ni dini nzuri sio sahii kuiita takataka dini yoyote.Dini zote zina mapungufu duniani.
Uislamu ndio chanzo cha ugaidi, imani yao inaruhusu kuua wale wasiokuwa waislamu. Wale magaidi ndo wameshika dini haswa ya kiislamu sababu wanafuata kile kilichoandikwa na allah wao.

Hii dini ni matatizo, kwanza toka lini Mungu akalazimisha mtu afuate kile anachotaka. Umewahi kujiuliza Yesu angetoa agizo la kuua wasiomuamini dunia ingekuaje? Hata uislamu usingekuwepo, na kama Uislamu ungeanza, Ukristo ungekuwa ktk hali mbaya sana.

Nakubaliana na jamaa, hii dini ni TAKATAKA.
 
Zilete hapa nikuchambulia!


Hadithi dhaifu nimekupata hadithi katika usilam zipo aina ngapi kama nne
Kwahiyo Mu'waiya Ibin Abu Sufyan hayupo na adithi Idadi:16,245 haipo msomi.Kumbuka issue ni ushoga na hizi dini zetu ndio nauliza mimi hapa msomi.
 
Hapo unapoishi wapo waislam?
Wamekutendea ukatili upi so far?
Nipo mtwara, nagaidi kwa imani yao ya kiislamu inaongoza kwa kuua watu. Hii haihitaji uelezwe kiundani sababu hata vyombo vya usalama vya Tz vimekiri kuwepo kwa huo ushenzi wa watu kutaka nchi iwe ya kiislamu.
 
Maana naona msomi unasema ushoga ni wa wakristo pekee je na hii adithi:Idadi 16,245 aliyosema Mu'wayia Ibin Sufyan juu ya mtume muhamad ni uongo au???
Zilete hapa hiyo ni hadithi dhaifu Kuna aina za hadithi ambazo zipo zlitungwa na watu hawaeleweki hata sio miongono mwa maswahaba kwa nn waislamu tunazinjua izo hadithi ?

Ni kwamba tunafuata uhusiano wa kila kitua na Qur an hata mtume hakuwahi kwenda against ya Qur an so hadithi zile ambazo ni masimuliz na yanafanana na Qur an directly zinakubalika, hata watu waliotajwa kweny Qur an ukiwaona kweny hadithi ni dhahiri ni sahili.

Qur an ndo muongozi huwezi na hadithi ni masimuliz ambayo yanaweza kuwa na wakalini kutokana na msimuliaji wapo maswahaba ambao wakiishi na mtume na wanajulikana zipo zilizoandikwa kipindi maswahaba hawapo kabisa yaani taboo( watoto wa mitume) kizazi kilichokuja baada ya mitume.
 
Nikusahihishe kidogo msomi Ughury sio asili ya waturuki bali hao wanaoitwa waturuki ndio asili yao ni waughury na jamii nyingine za asia ya kati kama waazeri,mongols,krygiz,uzhekh na nyinginezo nyingi.
Turkic ni Ethnic Group kama unavyosema Waarabu, wabantu na wengineo, inaanzia uturuki hadi Ughuyr, Turkic kiswahili ndo Kituruki. Hizo Nchi za Stan kama Kazakhstan, Baadhi ya Iraq, Iran, Urusi, Uturuki, ni Turkic people.

Hivyo Ughuyr ni Turkic na sio Vice versa kwamba Turkic ni Ughuyr.
 
Turkic ni Ethnic Group kama unavyosema Waarabu, wabantu na wengineo, inaanzia uturuki hadi Ughuyr, Turkic kiswahili ndo Kituruki. Hizo Nchi za Stan kama Kazakhstan, Baadhi ya Iraq, Iran, Urusi, Uturuki, ni Turkic people.

Hivyo Ughuyr ni Turkic na sio Vice versa kwamba Turkic ni Ughuyr.
Nilichokusahiisha ni kua haianzii uturuki bali inaanzia asia ya kati kabla hata miliki ya Ottoman empire kuwepo na baadae taifa la uturuki kuzaliwa baada ya mapinduzi ya kijeshi msomi.Au hujui histori ta asia ya kati msomi??
 
Nilichokusahiisha ni kua haianzii uturuki bali inaanzia asia ya kati kabla hata miliki ya Ottoman empire kuwepo na baadae taifa la uturuki kuzaliwa baada ya mapinduzi ya kijeshi msomi.Au hujui histori ta asia ya kati msomi??
Kasome American crusade war then uje hapa ...Hata hapa Africa mauaji kibao kama ya kimbali kasome kwa undani utajua dini yako.
 
Back
Top Bottom