Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Kwanza napenda kushukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipea uhai na afya njema mpaka nimefika salama siku ya leo tena.
Pili kwa dhati kabisa naomba niwaombe radhi wale wote ambao nimewakwaza na kuwakosea, kwa kukusudia ama kwa kuto kukusudia.... Nawaomba radhi sana wote wakubwa kwa wadogo.
Tatu naomba niwaombe radhi wale wote ambao nimewahi kuwakwaza kwa maneno ya maskhara ama kwa vile vipicha vya kuudhi pamoja na avatar yangu isiyo wavutia wengi.... Nawaomba mniwie radhi sana.
Pia naomba ninashkuru sana wateja wangu wote ambao wame wahi kuniamini na kufikia kufanya biashara nao, hawa nawaambia ahsanteni na karibuni tena sana.
Leo nimeamua kwamba, kwakua ni siku yangu ya kufurahia ninapo tumiza umri wa miaka kadhaa.... basi nimeamua kwa yeyote mwenye swali lolote aniulize hapa. Nami nitajibu maswali yote hapa hapa.
Karibuni tusherehekee...