"Ushimen" hivi ndivyo nimeamua kusheherekea siku yangu ya kuzaliwa

"Ushimen" hivi ndivyo nimeamua kusheherekea siku yangu ya kuzaliwa

Ushimen

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
40,828
Reaction score
99,523
Kwanza napenda kushukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipea uhai na afya njema mpaka nimefika salama siku ya leo tena.
Pili kwa dhati kabisa naomba niwaombe radhi wale wote ambao nimewakwaza na kuwakosea, kwa kukusudia ama kwa kuto kukusudia.... Nawaomba radhi sana wote wakubwa kwa wadogo.
Tatu naomba niwaombe radhi wale wote ambao nimewahi kuwakwaza kwa maneno ya maskhara ama kwa vile vipicha vya kuudhi pamoja na avatar yangu isiyo wavutia wengi.... Nawaomba mniwie radhi sana.
Pia naomba ninashkuru sana wateja wangu wote ambao wame wahi kuniamini na kufikia kufanya biashara nao, hawa nawaambia ahsanteni na karibuni tena sana.

Leo nimeamua kwamba, kwakua ni siku yangu ya kufurahia ninapo tumiza umri wa miaka kadhaa.... basi nimeamua kwa yeyote mwenye swali lolote aniulize hapa. Nami nitajibu maswali yote hapa hapa.

Karibuni tusherehekee...
 
HBD mkuu kwanini kwenye avatar hujawahi kuota meno[emoji23][emoji23]
Kwanza asante kwa good wish.
Nikikuja kwenye swali lako la msingi, jibu ni kwamba hiyo avatar nikiamua kuiweka ili kidogo niwe na muonekano tofauti na member wengine. Na wakati naiweka kuna rafiki wangu wa kike kipindi kile alikua anaichukia sana, basi nilipo gundua gf wangu sikuzile alikua anachukia, ndipo na mimi niliamua niwe namuudhi tu kwakufanya maskhara.
 
Happy birthday [emoji320][emoji322][emoji512][emoji324][emoji323] to you

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kheri na fanaka ya siku ya kuzaliwa mkuu..

Swali: Unamwambia nini kijana ambaye hajaoa au mwanaume aliye tayari ktk ndoa.. Ambaye ataangukia kwa mke ambaye hawapendi ndugu wa mume(hasa kukaa na mama mkwe) afanye nini?

Sent using Infinix Hot 5
 
Kwa nini unaipenda ile picha ya mwanaume kavaa nguo za ndani za kike? Happy birthday mkuu
Asante kwa good wish mkuu.
Nikikuja kwenye swali lako, jibu ni kwamba ile picha naipenda kwasababu tu ninapenda maskhara na kua tofauti kidogo na wingi
 
Kwanza napenda kushukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipea uhai na afya njema mpaka nimefika salama siku ya leo tena.
Pili kwa dhati kabisa naomba niwaombe radhi wale wote ambao nimewakwaza na kuwakosea, kwa kukusudia ama kwa kuto kukusudia.... Nawaomba radhi sana wote wakubwa kwa wadogo.
Tatu naomba niwaombe radhi wale wote ambao nimewahi kuwakwaza kwa maneno ya maskhara ama kwa vile vipicha vya kuudhi pamoja na avatar yangu isiyo wavutia wengi.... Nawaomba mniwie radhi sana.
Pia naomba ninashkuru sana wateja wangu wote ambao wame wahi kuniamini na kufikia kufanya biashara nao, hawa nawaambia ahsanteni na karibuni tena sana.

Leo nimeamua kwamba, kwakua ni siku yangu ya kufurahia ninapo tumiza umri wa miaka kadhaa.... basi nimeamua kwa yeyote mwenye swali lolote aniulize hapa. Nami nitajibu maswali yote hapa hapa.

Karibuni tusherehekee...
Kheri ya kumbukumbu ya kuzaliwa
 
Happy birthday mzee wa kutupia picha mbaya Yesu azidi kukutunza
Asante sana mkuu, lakini ebu nikumbushe hiyo picha mbaya yenye unasema na inakuudhi mkuu...[emoji30][emoji30]
 
Back
Top Bottom