The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 1,967
- 4,267
Tukipoteza woga wetu wanapoteza nguvu zao,
Ushindi wa wakili Mwabukusi umeshangiliwa na watu wengi, hii ni ishara kuwa Wanaoisapot CCM ni wale wanaonufaika nayo tu ambao kimsingi ni wachache.
Hivyo tukiungana mwaka 2025 , watanzania wote tukaiadhibu CCM kwenye boksi la kura, hawataamini kinachoeatokea.
PIA SOMA
- Breaking News: - Yanayojiri Uchaguzi wa Rais TLS: Mwabukusi ashinda Urais TLS 2024, apata kura 1274
Miaka yote (in fact toka 1995 uchaguzi wa kwanza chini ya mfumo wa vyama vingi) CCM huwa inapigwa kipigo cha paka mwizi kupitia sanduku la kura..
Shida ya kuwafukuza hawa hayawani haiko kwenye sanduku la kura. Dawa ya hawa insyopaswa kutafutwa ni ile ya kuhakikisha mshindi ktk sanduku la kura anatangazwa mshindi na siyo asiyeshinda kuchukua ushindi usio wake.!!!
Uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 Tundu Lissu alimpiga kipigo cha mbwa mwizi John P. Magufuli na CCM yake kama Mwabukusi alivyoshinda leo..
Walichakachua matokeo ya kura za u - Rais mpaka hawa hayawani wanaona aibu wenyewe kuyaweka matokeo ya jimbo kwa jimbo kwenye website.com ya NEC kama sheria inavyotaka na pia kuyatangaza kwenye gazeti la serikali mpaka leo..
Kwa hiyo, Hayati Rais John P. Magufuli na Samia Suluhu Hassan ni marais wa kujiweka/kujipachika kwa nguvu. Ni marais by default wasio na legitimacy ya kisiasa kwa kuwa hawakuchaguliwa na watu.!
Kiuhalisia, uchaguzi wa TLS ni reflection ya mchuano kati ya CHADEMA na CCM. Na hawa CCM kwenye sanduku la kura hawana chao, hawaiwezi CHADEMA hata kama watawakusanya waganga na wachawi wao wote..!
THE PEOPLE'S POWER HAS WON..............................!;