Jay One
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 18,042
- 19,787
Tukipoteza woga wetu wanapoteza nguvu zao,
Ushindi wa wakili Mwabukusi umeshangiliwa na watu wengi, hii ni ishara kuwa Wanaoisapot CCM ni wale wanaonufaika nayo tu ambao kimsingi ni wachache.
Hivyo tukiungana mwaka 2025 , watanzania wote tukaiadhibu CCM kwenye boksi la kura, hawataamini kinachoeatokea.
PIA SOMA
- Breaking News: - Yanayojiri Uchaguzi wa Rais TLS: Mwabukusi ashinda Urais TLS 2024, apata kura 1274
Matumaini ni hope, unaruhusiwa kuwa na matumaini, ila jua kabisa akilini mwako, moyoni mwako na rohoni mwako, matumaini sio uhalisia, matumaini ni ndoto tu, na uhalisia ndio hali halisi..!!
CCM itakushangaza sana 2025 kwa uhalisia wake sio kwa matumaini yako.