Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Mungu ametendaHongera Sana Boniface Mwabukusi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu ametendaHongera Sana Boniface Mwabukusi
UDAS alitumbuliwa?Ni msukuma wa kahama alikuwa mwl wa secondary rocken hill akajiendeleza akagombea ubunge jimbo la Kahama kwa ticket ya CCM alipokosa ubunge akateuliwa na Magu kuwa Das wa Tabora akatumikia mwaka mmoja akala kona kurudi Dar
Aliomba kuacha ili akaendelee na uwakiliUDAS alitumbuliwa?
So 4,000 ni wachache sana. Chini ya theluthi. Hawana impact kubwa kwenye siasa za Tanzania. Wanazidiwa kwa mbali mno na walimu.Ina wanachama 12,471 ktk Tanganyika yote..
Kwenye mkutano, huwezi kukusanya wanachama wote..
Hata ktk uchaguzi mkuu wa kawaida ktk nchi yetu, walioandikishwa kupiga kura huwa karibu milioni 25+ lakini ambao hupiga kura huwa nusu au chini ya nusu ya walioandikishwa..
Kwa hiyo, ndivyo ilivyo!!
Ila hatuna usela mavi kama watu wa chadema wengi kichwani hamna kitu zaidi ya ujuaji mwingi silaha yao matusi ,mihemuko na kufuata mkumboSasa fikra za ukatuli na uuwaji wanini Watu wa CCM...akili mavi
CCM tumejipanga liwe jua iwe mvua lazima tushinde kwa kishindo.Tukipoteza woga wetu wanapoteza nguvu zao,
Ushindi wa wakili Mwabukusi umeshangiliwa na watu wengi, hii ni ishara kuwa Wanaoisapot CCM ni wale wanaonufaika nayo tu ambao kimsingi ni wachache.
Hivyo tukiungana mwaka 2025 , watanzania wote tukaiadhibu CCM kwenye boksi la kura, hawataamini kinachoeatokea.
PIA SOMA
- Breaking News: - Yanayojiri Uchaguzi wa Rais TLS: Mwabukusi ashinda Urais TLS 2024, apata kura 1274
NDio akili za chadema zilipoishia hapo hamna jipya au kuna matusi mapya ambayo hatuyajui maana haya tumeshayazoeaWe Tumbili kaungane na ngedele pamoja na bundi kukata umeme wa SGR ili mabasi ya wakubwa yafanye kazi katika barabara ya Dsm moro na dosoma kima wewe
Kusema hivyo, maana yake unadharau kuwa hata kura ya mpiga kura mmoja kwako wewe ni kuwa haina impact yoyote ktk uchaguzi.So 4,000 ni wachache sana. Chini ya theluthi. Hawana impact kubwa kwenye siasa za Tanzania. Wanazidiwa kwa mbali mno na walimu.
Tunaweza kuindoa CCM mapema sn tupige kura kwa wingi na kuzilindaTukipoteza woga wetu wanapoteza nguvu zao,
Ushindi wa wakili Mwabukusi umeshangiliwa na watu wengi, hii ni ishara kuwa Wanaoisapot CCM ni wale wanaonufaika nayo tu ambao kimsingi ni wachache.
Hivyo tukiungana mwaka 2025 , watanzania wote tukaiadhibu CCM kwenye boksi la kura, hawataamini kinachoeatokea.
PIA SOMA
- Breaking News: - Yanayojiri Uchaguzi wa Rais TLS: Mwabukusi ashinda Urais TLS 2024, apata kura 1274
Labda TISS waamue tu kwa kuchoka madhira ya CCMTukipoteza woga wetu wanapoteza nguvu zao,
Ushindi wa wakili Mwabukusi umeshangiliwa na watu wengi, hii ni ishara kuwa Wanaoisapot CCM ni wale wanaonufaika nayo tu ambao kimsingi ni wachache.
Hivyo tukiungana mwaka 2025 , watanzania wote tukaiadhibu CCM kwenye boksi la kura, hawataamini kinachoeatokea.
PIA SOMA
- Breaking News: - Yanayojiri Uchaguzi wa Rais TLS: Mwabukusi ashinda Urais TLS 2024, apata kura 1274
Kwenye modern politics and Democratic System. Wachache wanasikilizwa tu.Kusema hivyo, maana yake unadharau kuwa hata kura ya mpiga kura mmoja kwako wewe ni kuwa haina impact yoyote ktk uchaguzi.
Kama ndiyo maana yako hii, basi sina shida na wewe maana lazima utakuwa na shida upstairs, bila hata kupepesa macho!!
Niumie kwa ushindi wa mwabukusi? Hakuna jipya ashinde asishinde ukweli unabaki he will not change anything as far as ccm is concerned ila ataisaidia ccm na nchi kurekebisha panapovujasijui masikini unaumia ukiwa wapi? Huu mwiba umekuchoma sana na Bado
Sasa hizi kura 1200 alizopata mwabukusi ndio zitabadilisha uchaguzi mkuu kweli? Hao si wanachama wa chadema tu ndani ya tls ila majority ya watanzania always wataichagua ccm ,hakuna chama mbadala wa ccm huo ndio ukweli mchunguComent ya Chawa kama Chawa.
TL alipigwa Risasi akiwa Rais wa TLS
Hapana ukiangalia tls sehemu abayo chadema wanaona wananguvu ila margin ndogo hivyo, unadhani kura 1200 zinaweza kubadilisha matokeo ya uchaguzi mkuu?Sema polisi wapo imara kukilinda ccm.
Hizo ni hisia zako ila hakuna ushahidi wowote kama magu alihusika, mbona mbowe anatuhumiwa kumuua chacha wangwe hili hamlizungumzii,Kama kipo imara Magufuli alimtandika risasi zanini?
I agree with youKwenye modern politics and Democratic System. Wachache wanasikilizwa tu.
Ukijibu swali hapo👆juu, ndiyo itakuwa jibu la hoja yako hiiKwenye Siasa we don't deal with minority, we deal with majority.
So TLS are below minorities.
Ungesoma heading ya uzi huu usingepata taabu ya kunijibu kwa maneno mengi hivi.I agree with you
Wachache husikilizwa na hoja zao huchukuliwa na kufanyiwa kazi na hao wengi..
Lakini ktk context ya uchaguzi wa TLS Kati ya 2,000+ waliopiga, wachache ni wepi na wengi ni wepi kwa ufahamu wako?
Kumbuka TLS Ina members 12,471. Ambao hawakuja wenyewe kupiga kura, hawawezi kuwa sehemu ya wengi au wachache.
Ukijibu swali hapo👆juu, ndiyo itakuwa jibu la hoja yako hii
Maana Adv. Mwabukusi kapata majority of votes na washindani wake wamepata minority of all votes
OfcourseUngesoma heading ya uzi huu usingepata taabu ya kunijibu kwa maneno mengi hivi.
Muanzishaji wa uzi anasema CCM itapata taabu kwenye uchaguzi 2025. Swali langu la msingi ni hao 2,000 wapo na impact ipi kwenye siasa za Tanzania. TLS is minority group here in Tanzania inazidiwa na CWT.