Pre GE2025 Ushindi wa Boniphace Mwabukusi unatupa matumaini huenda 2025 CCM ikaondoka kwa kishindo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ni msukuma wa kahama alikuwa mwl wa secondary rocken hill akajiendeleza akagombea ubunge jimbo la Kahama kwa ticket ya CCM alipokosa ubunge akateuliwa na Magu kuwa Das wa Tabora akatumikia mwaka mmoja akala kona kurudi Dar
UDAS alitumbuliwa?
 
So 4,000 ni wachache sana. Chini ya theluthi. Hawana impact kubwa kwenye siasa za Tanzania. Wanazidiwa kwa mbali mno na walimu.
 
CCM tumejipanga liwe jua iwe mvua lazima tushinde kwa kishindo.
 
We Tumbili kaungane na ngedele pamoja na bundi kukata umeme wa SGR ili mabasi ya wakubwa yafanye kazi katika barabara ya Dsm moro na dosoma kima wewe
NDio akili za chadema zilipoishia hapo hamna jipya au kuna matusi mapya ambayo hatuyajui maana haya tumeshayazoea
 
So 4,000 ni wachache sana. Chini ya theluthi. Hawana impact kubwa kwenye siasa za Tanzania. Wanazidiwa kwa mbali mno na walimu.
Kusema hivyo, maana yake unadharau kuwa hata kura ya mpiga kura mmoja kwako wewe ni kuwa haina impact yoyote ktk uchaguzi.

Kama ndiyo maana yako hii, basi sina shida na wewe maana lazima utakuwa na shida upstairs, bila hata kupepesa macho!!
 
Tunaweza kuindoa CCM mapema sn tupige kura kwa wingi na kuzilinda
 
Labda TISS waamue tu kwa kuchoka madhira ya CCM
 
Kusema hivyo, maana yake unadharau kuwa hata kura ya mpiga kura mmoja kwako wewe ni kuwa haina impact yoyote ktk uchaguzi.

Kama ndiyo maana yako hii, basi sina shida na wewe maana lazima utakuwa na shida upstairs, bila hata kupepesa macho!!
Kwenye modern politics and Democratic System. Wachache wanasikilizwa tu.

Kwenye Siasa we don't deal with minority, we deal with majority.

So TLS are below minorities.
 
sijui masikini unaumia ukiwa wapi? Huu mwiba umekuchoma sana na Bado
Niumie kwa ushindi wa mwabukusi? Hakuna jipya ashinde asishinde ukweli unabaki he will not change anything as far as ccm is concerned ila ataisaidia ccm na nchi kurekebisha panapovuja
 
Coment ya Chawa kama Chawa.

TL alipigwa Risasi akiwa Rais wa TLS
Sasa hizi kura 1200 alizopata mwabukusi ndio zitabadilisha uchaguzi mkuu kweli? Hao si wanachama wa chadema tu ndani ya tls ila majority ya watanzania always wataichagua ccm ,hakuna chama mbadala wa ccm huo ndio ukweli mchungu
 
Sema polisi wapo imara kukilinda ccm.
Hapana ukiangalia tls sehemu abayo chadema wanaona wananguvu ila margin ndogo hivyo, unadhani kura 1200 zinaweza kubadilisha matokeo ya uchaguzi mkuu?
Majority ya watu wenye utulivu wa akili wataipigia ccm over chama chochote
Ccm imewekeza kwenye sera imara toka kwenye mashina ,vijiji, kila makundi huku chadema imewekeza kwenye ukanda na vijana wenye chuki na viongozi for one or two reasons , yupi hapo unaona atashinda?
Uchaguzi wa serikali za mitaa utapata picha kamili
 
Kama kipo imara Magufuli alimtandika risasi zanini?
Hizo ni hisia zako ila hakuna ushahidi wowote kama magu alihusika, mbona mbowe anatuhumiwa kumuua chacha wangwe hili hamlizungumzii,
WEwe chama gani mwenyekiti anakaa miaka 20 hataki kutoka halafu anataka tumpe nchi
 
Kwenye modern politics and Democratic System. Wachache wanasikilizwa tu.
I agree with you

Wachache husikilizwa na hoja zao huchukuliwa na kufanyiwa kazi na hao wengi..

Lakini ktk context ya uchaguzi wa TLS Kati ya 2,000+ waliopiga, wachache ni wepi na wengi ni wepi kwa ufahamu wako?

Kumbuka TLS Ina members 12,471. Ambao hawakuja wenyewe kupiga kura, hawawezi kuwa sehemu ya wengi au wachache.
Kwenye Siasa we don't deal with minority, we deal with majority.

So TLS are below minorities.
Ukijibu swali hapo👆juu, ndiyo itakuwa jibu la hoja yako hii

Maana Adv. Mwabukusi kapata majority of votes na washindani wake wamepata minority of all votes
 
Ungesoma heading ya uzi huu usingepata taabu ya kunijibu kwa maneno mengi hivi.

Muanzishaji wa uzi anasema CCM itapata taabu kwenye uchaguzi 2025. Swali langu la msingi ni hao 2,000 wapo na impact ipi kwenye siasa za Tanzania. TLS is minority group here in Tanzania inazidiwa na CWT.
 
Ofcourse
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…