Swali langu la msingi ni hao 2,000 wapo na impact ipi kwenye siasa za Tanzania. TLS is minority group here in Tanzania inazidiwa na CWT.
1. Nimeilewa mada vyema kuliko wewe ulivyo na pengine unavyoendelea kuelewa hata sasa!.
2. Kwa hoja yako hiyo 👆tu, Mimi napata taabu kweli kweli kujua na kuupima ufahamu wako!
Acha niwe na maneno mengi lengo ni Ili wewe na wengine wasiojua thamani ya kura ya mtu mmoja tu achilia mbali hawa 2,000 waelimike..
Twende kazi👇
✍️Hivi wewe
Venus Star unajua kweli kwamba hapa Tanzania kuna majimbo yana wapiga kura 5,000 na hawa ndiyo huamua nani awe Mbunge? Huoni kuwa kwa hesabu hii, kama kuna wagombea 4, mshindi aweza kuamuliwa na kura chini ya 2,000? Unashindwaje kujua impact ya kura 2,000 mpaka hapo?
✍️Hivi unajua hata kujua kuwa Kuna vijiji, mitaa na kata zina wapiga kura chini ya 2,000 na bado huamua nani awe mwenyekiti wao wa Kijiji, mtaa au diwani wa kata yao?
✍️Sasa wewe unapata wapi akili zenye ujasiri wa kubeza impact ya kura za watu 2,000? Mbona unaonekana kama immature ktk kufikiri, uelewa na ufahamu Ili ikusaidie ujenge hoja za msingi bibie?
##Narudia tena kukuambia:
✍️
Achana na mentality (mindset) ya kiwiziwizi wa kura wakati wa chaguzi. Wenye mentality (mindset) hii, hawawezi kujua thamani (impact) ya kura ya mtu mmoja kwa sababu hutegemea kuiba uchaguzi.
✍️Lakini bibie, katika FAIR, JUST, CREDIBLE & TRANSPARENT elections, kura ya mtu mmoja tu achilia mbali za watu 2,000 ina thamani (impact) kubwa katika uchaguzi wowote kuliko akili zako hizo zinavyowaza!
Kwa heri🏃🏃🏃🏃