Kenya 2022 Ushindi wa Ruto ni pigo kwa CCM, wajiandae kisaikolojia

Kenya 2022 Ushindi wa Ruto ni pigo kwa CCM, wajiandae kisaikolojia

Kenya 2022 General Election
Najua ninachoandika wale wa low IQ hawataelewa, Ruto alisimama, akamwamini Mungu, wakajaribu kufanya waliyotaka kuyafanya, hatimae Haki imeshinda dhidi ya udhalimu. CCM next time msiingilie mambo ya watu
Hakuna cha haki mwizi ni mwizi tu Ruto ni mwizi na utakuja jutia hayo mawazo yako,Kenya wana hali mbaya kuwa na mtu Rais kama RUTO.
 
Kitu pekee ambacho umeshindwa Kukielewa ni Kenyata na Ruto lao Mojaaa...!! Odinga alifanya kosaa kubwa kukubali unafiki wa uhuruu akadhani ameyapatia maishaa... ndo maana hutaona fujo yoyote ileee zikitokea kupinga matokeo
 
Back
Top Bottom