Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Unadhani ataileta hiyo democrasia??Najua Team mwendazake inawauma sana. Poleni sana
Hakuna cha bahati mbaya! Usidhani Nape kapongeza kwa bahati mbaya!
Hata Samia anawajua wote mlio die hard fans wa mtangulizi wake ambao hamtaki democratic process kwenye utawala
We endelea kusubiri na kuwaamini CCM[emoji23][emoji1787]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app