Kenya 2022 Ushindi wa Ruto ni pigo kwa CCM, wajiandae kisaikolojia

Kenya 2022 Ushindi wa Ruto ni pigo kwa CCM, wajiandae kisaikolojia

Kenya 2022 General Election
Acha ujinga wewe Ccm ya Samia haiwezi kuwa against Ruto!

Kama kuna mtu wa CCM alikuwa kwa Odinga ni Team Mwendazake
Odinga angekuwa na sera za magufuli ikulu ingekuwa yake ...sema alimsaliti jpm gkipindi kile na kuanza kumponda
 
Amini maneno yangu

Nape kielelezo cha Team Samia kawa wa kwanza kumpongeza Ruto

Unaowaona CCM waliokuwa upande wa yule mzee ni Team mwendakuzimu

Uko sahihi, ila nimecheka kwa nguvu hapo uliposema Nape kampongeza Ruto. Ulitegemea Nape ambaye ni waziri huku apinge rais aliyetangazwa Kenya?
 
Kenyatta anastaafu kwa aibu kubwa.
Big No...
He is very Genius by keeping his promise with President elect.
Kilichofanyika ni kumuweka Raila karibu kwenye awamu yake ya mwisho ili walau asahau pilika pilika na presha za uchaguzi.
Hata hivyo Wakenya wameshinda,kura 200K+ sio nyingi sana.
Mh.Rais mteule W.S.A Ruto atakuwa na jambo lake kwa Baba,stay tuned
 
Bwege mtozeni, ukikubali kuwa bwege kwa wahuni eti uonewe huruma halafu kwenye project zao lazima wakumalize tu.

Odinga amepigwa "dafrao" na Kenyata, Leo hii hana cha kumlaumu Kenyata na hana cha kuwaambia wafuasi wake.
Ruto hakuwa mmiliki wa dola na taasisi zake bali mmiliki wa hivi alikuwa ni temporary friend wa Odinga.
 
Najua ninachoandika wale wa low IQ hawataelewa, Ruto alisimama, akamwamini Mungu, wakajaribu kufanya waliyotaka kuyafanya, hatimae Haki imeshinda dhidi ya udhalimu. CCM next time msiingilie mambo ya watu
Sasa huku kwetu unadhani nani atawatangaza wapinzani wakati watangazaji wote ni CCM[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Najua ninachoandika wale wa low IQ hawataelewa, Ruto alisimama, akamwamini Mungu, wakajaribu kufanya waliyotaka kuyafanya, hatimae Haki imeshinda dhidi ya udhalimu. CCM next time msiingilie mambo ya watu
Kama nyie chadema mtaendelea kuleta wagombea ovyo kama kina lisu ikulu mtaendelea kusikia Kwa jirani.
 
Big No...
He is very Genius by keeping his promise with President elect.
Kilichofanyika ni kumuweka Raila karibu kwenye awamu yake ya mwisho ili walau asahau pilika pilika na presha za uchaguzi.
Hata hivyo Wakenya wameshinda,kura 200K+ sio nyingi sana.
Mh.Rais mteule W.S.A Ruto atakuwa na jambo lake kwa Baba,stay tuned
Baba atabaki kama kiongozi wa upinzani role yake ni ku oversee Serikali iliyopo madarakani, Ruto amesisitiza hilo hata kwenye mahojiano yanayoendelea hivi sasa. Odinga huwa akipewa nafasi sehemu yoyote ni Lazima alete mpasuko, amekua na wasifu huo katika siasa za Kenya
 
Odinga dig a grave of his own end,

Kenyatta na ruto ni watoto wa mjini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji51][emoji51]
 
Back
Top Bottom