Kenya 2022 Ushindi wa Ruto ni pigo kwa CCM, wajiandae kisaikolojia

Kenya 2022 General Election
Najua ninachoandika wale wa low IQ hawataelewa, Ruto alisimama, akamwamini Mungu, wakajaribu kufanya waliyotaka kuyafanya, hatimae haki imeshinda dhidi ya udhalimu. CCM next time msiingilie mambo ya watu
Na nyie chadema muamini Mungu halafu tuone kama mtaingia Ikulu
 
Najua ninachoandika wale wa low IQ hawataelewa, Ruto alisimama, akamwamini Mungu, wakajaribu kufanya waliyotaka kuyafanya, hatimae haki imeshinda dhidi ya udhalimu. CCM next time msiingilie mambo ya watu
Ccm ilisimamisha mgombea kenya?
 
Hakuna Mpare Mwenye akili mbovu, Wewe ni WA ujombani
Nyie cjui chadema imewalisha nini au mmelishwa limbwata na chadema mana akili hamna, miaka yote mnakosa kura Kwahy mungu hayupo nanyi.?
 
Ni Mpuuzi tu na kichaa au mwendawazimu atakayetamka maneno "CHADEMA wanakosa kura" narudia hata kichaa hawezi kutamka maneno hayo
 
Unawazungumzia wanasiasa wapinzani wa Tanzania walevi wa asali.
 
Unajifanya mjuaji halafu huna unachokijua. Hujaandika why ni pigo kwa CCM? Wewe ndo umedhihirisha kwamba una LOW IQ
 
Back
Top Bottom