Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Irrelevant contents and context.Najua ninachoandika wale wa low IQ hawataelewa, Ruto alisimama, akamwamini Mungu, wakajaribu kufanya waliyotaka kuyafanya, hatimae Haki imeshinda dhidi ya udhalimu. CCM next time msiingilie mambo ya watu
Unajikosha sio!!!Acha ujinga wewe Ccm ya Samia haiwezi kuwa against Ruto!
Kama kuna mtu wa CCM alikuwa kwa Odinga ni Team Mwendazake
Amini maneno yanguUnajikosha sio!!!
Take it from me then...Acha ujinga wewe Ccm ya Samia haiwezi kuwa against Ruto!
Kama kuna mtu wa CCM alikuwa kwa Odinga ni Team Mwendazake
Watawala wa wapi?Hii ni fundisho kwa watawala Wajiandae.....
Hakuna cha haki mwizi ni mwizi tu Ruto ni mwizi na utakuja jutia hayo mawazo yako,Kenya wana hali mbaya kuwa na mtu Rais kama RUTO.Najua ninachoandika wale wa low IQ hawataelewa, Ruto alisimama, akamwamini Mungu, wakajaribu kufanya waliyotaka kuyafanya, hatimae Haki imeshinda dhidi ya udhalimu. CCM next time msiingilie mambo ya watu
Mpango wa kijasusi uliopangwa na Uhuru Kenyatta ndio umempoteza OdingaMimi naamini katika handshake mpango kabambe uliompoteza Raila
Fafanua, handshake ilimpotezaje raila?Mimi naamini katika handshake mpango kabambe uliompoteza Raila