Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 76,039 Reaction score 230,142 Aug 16, 2022 #61 Lord denning said: Najua Team mwendazake inawauma sana. Poleni sana Hakuna cha bahati mbaya! Usidhani Nape kapongeza kwa bahati mbaya! Hata Samia anawajua wote mlio die hard fans wa mtangulizi wake ambao hamtaki democratic process kwenye utawala Click to expand... Unadhani ataileta hiyo democrasia?? We endelea kusubiri na kuwaamini CCM[emoji23][emoji1787] Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Lord denning said: Najua Team mwendazake inawauma sana. Poleni sana Hakuna cha bahati mbaya! Usidhani Nape kapongeza kwa bahati mbaya! Hata Samia anawajua wote mlio die hard fans wa mtangulizi wake ambao hamtaki democratic process kwenye utawala Click to expand... Unadhani ataileta hiyo democrasia?? We endelea kusubiri na kuwaamini CCM[emoji23][emoji1787] Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Blood of Jesus JF-Expert Member Joined Sep 19, 2016 Posts 4,486 Reaction score 8,098 Aug 16, 2022 #62 Kitu ambacho kiko wazi ni kuwa siasa za Kenya ni tofauti sana na za hapa Tz. Ni tofauti sana. Jesus is Lord
Kitu ambacho kiko wazi ni kuwa siasa za Kenya ni tofauti sana na za hapa Tz. Ni tofauti sana. Jesus is Lord
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 59,045 Reaction score 94,974 Aug 16, 2022 Thread starter #63 Vandetta said: Unajifanya mjuaji halafu huna unachokijua. Hujaandika why ni pigo kwa CCM? Wewe ndo umedhihirisha kwamba una LOW IQ Click to expand... Ujuaji wangu ndio ujinga wako. Umefurahi?
Vandetta said: Unajifanya mjuaji halafu huna unachokijua. Hujaandika why ni pigo kwa CCM? Wewe ndo umedhihirisha kwamba una LOW IQ Click to expand... Ujuaji wangu ndio ujinga wako. Umefurahi?
W WALOLA VUNZYA JF-Expert Member Joined Nov 20, 2020 Posts 7,154 Reaction score 7,155 Aug 16, 2022 #64 kichomiz said: Wana CCM buana, sasa unapanic nini? Click to expand... Ruto ni mwizi kama Magufuri.
ielewemitaa JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 10,764 Reaction score 9,477 Aug 16, 2022 #65 Elli said: Kwa low IQ ndio tutawaza hivyo Click to expand... Matatizo yenu mnatafuta wengine lawama, bureee kabisa
Elli said: Kwa low IQ ndio tutawaza hivyo Click to expand... Matatizo yenu mnatafuta wengine lawama, bureee kabisa