Ushindi wa Yanga dhidi ya Kaiza chiefs umekifunika kibegi

Sherehe ilikuwa Mbaya MNO.

Kadiri siku zinavyoenda sherehe za yanga zinazidi kudoda.

Leo NIMEONA fungulia mbwa.
Mashabiki zaidi ya Elfu 20 wameingia Bure.
Mpira ni pesa bro, value for money lazima izingatiwe. Huwezi kuona live mechi kubwa kama hii kwa sh. 2000. Watu Wachache maokoto makubwa. Sherehe hii imefanyika katikati ya mwezi watu hawana fedha lakini bado wamejitokeza kiasi kile. Simba wametegea sherehe iwe mwisho wa mwezi,
 
hiyo timu ilifungwa bao tatu na Simba kwenye mashindano ya klabu bingwa na sio kwenye bonanza kama mlilocheza Jana, kama mlifikiria mkiwaita mnaweza kuwafunga zaidi 5a magoli waliyofungwa na Simba poleni.
 
Habari ya mjini Sasa hivi ni Yanga kuifunga Kaiza chiefs, Skudu na Maxi. Hii imesababisha uzinduzi wa Jezi mpya za Simba uwe buusheti!!!
Hata hapa umelipwa promo bila kujua.Ukidhani umekiponda. Yaani kimewatesa na kitawatesa Sana.

Nb: tamasha la fungulia mbwa na bado uwanja ukagoma kuitika.
 
hiyo timu ilifungwa bao tatu na Simba kwenye mashindano ya klabu bingwa na sio kwenye bonanza kama mlilocheza Jana, kama mlifikiria mkiwaita mnaweza kuwafunga zaidi 5a magoli waliyofungwa na Simba poleni.
View attachment 2696846
Simba wanategeshea iwe mwisho wa mwezi wapate viingilio vya buku 2000. Yanga hakuna viingilio vya buku 2000. Yanga wanajua kuichangia timu Yao lakini Simba lazima mo aingie mfukoni mwake kila wakati kwa kila kitu. Yanga vs Kaiza chiefs kwa 2000 ni kuzishusha hadhi timu.
 
Habari ya mjini Sasa hivi ni Yanga kuifunga Kaiza chiefs, Skudu na Maxi. Hii imesababisha uzinduzi wa Jezi mpya za Simba uwe buusheti!!!
Mzee vipi, kwani uzinduzi unafanyika mara ngapi? Mbona kibegi kilifika tangu Ijumaa jioni na uzinduzi ukafanyika? Au mtetemoko wa uzinduzi uliendelea hadi siku ya mechi Jumamosi?
 
Simba wanategeshea iwe mwisho wa mwezi wapate viingilio vya buku 2000. Yanga hakuna viingilio vya buku 2000. Yanga wanajua kuichangia timu Yao lakini Simba lazima mo aingie mfukoni mwake kila wakati kwa kila kitu. Yanga vs Kaiza chiefs kwa 2000 ni kuzishusha hadhi timu.
ilikuwaje mkaingiza watu fungulia mbwa, nyie mlitangaza kiingilio kikubwa Ili mlipe madeni makubwa mnayodaiwa pamoja na kufidia pesa mliyoamriwa na FIFA mumlipe yule kocha aliyewaita manyani.
 
Simba wanategeshea iwe mwisho wa mwezi wapate viingilio vya buku 2000. Yanga hakuna viingilio vya buku 2000. Yanga wanajua kuichangia timu Yao lakini Simba lazima mo aingie mfukoni mwake kila wakati kwa kila kitu. Yanga vs Kaiza chiefs kwa 2000 ni kuzishusha hadhi timu.
halafu tamasha lenu halieleweki tofauti na Simba terehe 8 mwezi wa 8 ingawa safari hii tarehe imebadilika kutokana na ngao ya jamii lakini nyinyi mnakurupushwa bila kuwa na siku maalumu
 
Back
Top Bottom