Ushindi wa Yanga dhidi ya Kaiza chiefs umekifunika kibegi

ilikuwaje mkaingiza watu fungulia mbwa, nyie mlitangaza kiingilio kikubwa Ili mlipe madeni makubwa mnayodaiwa pamoja na kufidia pesa mliyoamriwa na FIFA mumlipe yule kocha aliyewaita manyani.
Ni mechi kubwa ya timu kubwa kwavyovyote kiingilio hakingeweza kuwa sh. 2000 kuona mechi kubwa live. Tsh. 10000 ni sawa na watazamaji 5 wa 2000, hii inamaana kuwa Yanga imepiga hela ndefu jana kuliko ingesema kiingilio ni sh. 2000 au 3000. Ni kwa kiingilio, ada ya wanachama na jezzi mahala pekee wanachama wanaweza kuichangia furaha na ulevi wao wa kabumbu. Kwa viingilio vya 2000 ndio maana mo ataendelea kuwachachafya kila mwaka. Starehe ni gharama Tunataka watu wa Yanga waelewe hivyo.
 
Kuna ubaya gani wanayanga wenyewe wakalipa madeni ya furaha Yao? Bure ni ghali sana, kumtegemea mo kwa kila jambo kunampa jeuri ya kuwajambisha kila wakati.
 
Ni mechi kubwa ya timu kubwa kwavyovyote kiingilio hakingeweza kuwa sh. 2000 kuona mechi kubwa live. Tsh. 10000 ni sawa na watazamaji 5 wa 2000, hii inamaana kuwa Yanga imepiga hela ndefu jana kuliko ingesema kiingilio ni sh. 2000 au 3000. Ni kwa kiingilio, ada ya wanachama na jezzi mahala pekee wanachama wanaweza kuichangia furaha na ulevi wao wa kabumbu. Kwa viingilio vya 2000 ndio maana mo ataendelea kuwachachafya kila mwaka. Starehe ni gharama Tunataka watu wa Yanga waelewe hivyo.
mechi kubwa unazijua, tulicheza na hiyo timu Tena kwenye mashindano ya Afrika sio bonanza kama la Jana, tulicheza na Sevilla viingilio vilikuwa vya kawaida, tulicheza na mabingwa wa Africa Tena wametoka kushika nafasi ya tatu klabu bingwa ya Dunia ndio maana nilikushauri kabla ya kupost omba ushauri kwa Yanga wenzako wenye akili oama Tate Mkuu au Changaule wakusaidie.
 
Kwani ule moto kiwanjani mliuwacha kwenye mechi ipi? Hebu nikumbushe alooo.

Utafiti unaonyesha kuwa watazamaji wanaokunya bafuni na kuharibu miundombinu ya uwanjani wengi wao watoka kwenye kundi la viingilio vya 2000 na 3000. Ni kundi kubwa la watu wasiokuwa na chakupoteza. Simba inao watu hao wengi sana. Timu lazima iwe na mipango, Kuna wakati timu inahitaji watu wa kuichangia na Kuna wakati timu inahitaji watu wa kuishangilia. Mwananchi day ni siku ya watu wanaoweza kuichangia timu Yao. Ndio maana Kuna ticket ziliuzwa sh. 500,000, 300000, 100000, 40000 pale na zilinunuliwa zote. Simba mtateswa sana na mo kwa kupenda vya bure all the time.
 
huo utafiti uliufanyia wapi, mama j alilipa kiingilio Cha shilingi ngapi?
jifunze kujibu hoja na sio kuhamisha magoli. umesema mmeweka kiingilio mechi ya Jana kwa sababu mlikuwa,mnacheza na timu kubwa na Mimi nikakujibu hiyo timu I;ilicheza na Simba Tena kwenye mashindano makubwa Africa na kiingilio kilikuwa Cha kawaida lakini nikakutolea mfano wa mechi kubwa ambazo kiingilio kilikuwa Cha kawaida lakini unachojibu hakifanani na hoja iliyopo.
hii itakuwa post ya mwisho kujibu nimegundua nabishana na mtu mwenye upeo mdogo.
 
Kiingilio mliweka cha kawaida, ok, lakini hiyo ndiyo inayosababisha mo analalamika kupata hasara. yaani unatoa 2000 halafu unataka mchezaji wa bei kubwa kindezindezi. Lipia starehe yako sio kumtegea mo afanye.
 
unajuaje kama mo anapata hasara au wewe ni mhasibu wake
 
Duuuu!!! kasema mwenyewe sio mara moja.

Viongozi wa Simba sana wanawaza Simba day waalike timu gani kubwa yenye hadhi ya Kaiza chiefs na matokeo ya mechi yatakuwaje? Hakuna mtu atakaewaelewa kama wataleta timu kutoka East Africa kama Kenya, Uganda, Rwanda au Burundi. Lazima walete timu ya CAF.
 
Back
Top Bottom