Ushindi wa Yanga dhidi ya Kaiza chiefs umekifunika kibegi

Ushindi wa Yanga dhidi ya Kaiza chiefs umekifunika kibegi

Kibegii
Screenshot_20230722-133815_Instagram.jpg
 
Unakifunikaje wakati mwenyewe umeanzisha Uzi kukielezea ..yaani habari zenu mnaona hazina maana
kibegi kingefurukuta mjini kama Yanga ingefungwa na Kaiza, hakiyaMungu nakwambia. Lakini habari za Max Nzegeli, Skudu, Gift, mauya, Mkude na wengine kwenye mechi ilikausha hamu ya kusikiliza kibegi, bandari, miquison na mambo mengine yote ya kijingajinga. Baada ya mechi ile timu zoooote nchini haziijui hatima yao kwenye ligi. Nadhani zitasajili tena, bahati mbaya tu wachezaji wazuri na wazoefu ambao wamecheza finali na nusu finali za caf hawapo sokoni, wapo Yanga tu na timu kubwa nyingine.
 
Mzee vipi, kwani uzinduzi unafanyika mara ngapi? Mbona kibegi kilifika tangu Ijumaa jioni na uzinduzi ukafanyika? Au mtetemoko wa uzinduzi uliendelea hadi siku ya mechi Jumamosi?
Kilifika kule juu ndio lakini safari yenyewe ilizongwa na tweet ya mo, robartihno kwenda Brazil na kuicha kambi, chama kugoma kwenda uturuki, baleke kubaki tz, maandalizi ya siku ya wananchi, mwaliko wa kaiza chiefs, bandari. Hivyo hakukua na mtu wa maana aliyekuwa anahangaika na kibegi zaidi Jemedari, Rwambano, Ambangile na Job kwenye viredio vyao kwenye kipindi cha michezo. Baada ya mechi ya Yanga na Kaiza habari ikawa matokeo ya mechi, skudu, Nzegeli, Nkudee, na Gift Fred. Hapo wakabaki walewale wachambuzi wenu uchwara tena.
 
Kilifika kule juu ndio lakini safari yenyewe ilizongwa na tweet ya mo, robartihno kwenda Brazil na kuicha kambi, chama kugoma kwenda uturuki, baleke kubaki tz, maandalizi ya siku ya wananchi, mwaliko wa kaiza chiefs, bandari.
Kwa hiyo kibegi kilikuwa kinasikia yote hayo? 🤣🤣🤣
Utopolo bhana!
 
Back
Top Bottom