Ushindi walioupata Simba dhidi ya De Agosto umewanyongoza Simba na kuwakata ngebe

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Huu ndio ukweli mchungu kwani walijiaminisha kushinda kwa mabao mengi kuanzia matatu na kuendelea.

Kwa ushindi huo msitegemee wataongea sana na badala yake watakuwa wanawaza itakuwaje tunapokwenda kukutana na timu bora kuliko De Agosto. Hawawezi kukiri wala kusema hadharani haya niyasemayo ila huu ndio ukweli wenyewe.

Wamenyong'onyea na kidomodomo kimepungua wanasubiri matokeo ya Yanga wakiomba Yanga itolewe wapate cha kusema.
 
Kwa ushindi huo msitegemee wataongea sana na badala yake watakuwa wanawaza itakuwaje tunapokwenda kukutana na timu bora kuliko De Agosto. Hawawezi kukiri wala kusema hadharani haya niyasema ila huu ndio ukweli wenyewe.
Kumbe ni kweli sifa ya kuwa mwanayanga ni kuwa hamnazo
 
Huu ndio ukweli mchungu kwani walijiaminisha kushinda kwa mabao mengi kuanzia matatu na kuendelea.

Kwa ushindi huo msitegemee wataongea sana na badala yake watakuwa wanawaza itakuwaje tunapokwenda kukutana na timu bora kuliko De Agosto. Hawawezi kukiri wala kusema hadharani haya niyasema ila huu ndio ukweli wenyewe.

Wamenyong'onyea na kidomodomo kimepungua wanasubiri matokeo ya Yanga wakiomba Yanga itolewe wapate cha kusema.
Ipo hivi kwa timu ambayo inaizidi Agosto kimchezo haiwezi kuiondoa Simba bali Simba itaondolewa na timu yenye uwezo mkubwa kimchezo kuliko Simba yenyewe na kati ya hizo ni zile big 4 Africa tu basi.
 
Huu ndio ukweli mchungu kwani walijiaminisha kushinda kwa mabao mengi kuanzia matatu na kuendelea.

Kwa ushindi huo msitegemee wataongea sana na badala yake watakuwa wanawaza itakuwaje tunapokwenda kukutana na timu bora kuliko De Agosto. Hawawezi kukiri wala kusema hadharani haya niyasemayo ila huu ndio ukweli wenyewe.

Wamenyong'onyea na kidomodomo kimepungua wanasubiri matokeo ya Yanga wakiomba Yanga itolewe wapate cha kusema.
nimekudharau kwa dharau za kila nama
 
Ipo hivi kwa timu ambayo inaizidi Agosto kimchezo haiwezi kuiondoa Simba bali Simba itaondolewa na timu yenye uwezo mkubwa kimchezo kuliko Simba yenyewe na kati ya hizo ni zile big 4 Africa tu basi.
Agosto ni kama Zalan tu japo ina unafuu.
 
Huu ndio ukweli mchungu kwani walijiaminisha kushinda kwa mabao mengi kuanzia matatu na kuendelea.

Kwa ushindi huo msitegemee wataongea sana na badala yake watakuwa wanawaza itakuwaje tunapokwenda kukutana na timu bora kuliko De Agosto. Hawawezi kukiri wala kusema hadharani haya niyasemayo ila huu ndio ukweli wenyewe.

Wamenyong'onyea na kidomodomo kimepungua wanasubiri matokeo ya Yanga wakiomba Yanga itolewe wapate cha kusema.
Tupo Bar tunawasubiria 🐸🐸🐸🐸 sa3 na hatuondoki saivi tunaangalia Liverpool vs mancity USISTUTINGISHE!!!
 
Huu ndio ukweli mchungu kwani walijiaminisha kushinda kwa mabao mengi kuanzia matatu na kuendelea.

Kwa ushindi huo msitegemee wataongea sana na badala yake watakuwa wanawaza itakuwaje tunapokwenda kukutana na timu bora kuliko De Agosto. Hawawezi kukiri wala kusema hadharani haya niyasemayo ila huu ndio ukweli wenyewe.

Wamenyong'onyea na kidomodomo kimepungua wanasubiri matokeo ya Yanga wakiomba Yanga itolewe wapate cha kusema.

Mambo ya Simba ( Nguvu Moja) yaache, yeye keshakwenda makundi! Subiri vioja vya Utopolo kuanzia dakika 40 zijazo tangu muda huu!
 
Yanga ndio maana mnafeli,champins league sio ligi ya ndani ina staili yake ya kuzicheza hizi game
Una mtaji wa goli tatu unatakiwa kulinda goli zako na sio kurisk
Huku hawaangalii point wala magoli bali aggregate
Vyura hamna akili
Lugha imebadilika kutoka kushinda goli nyingi kwenda tumechaza kulinda ushindio tulioupata ugenini.
 
Back
Top Bottom