Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Ndani ya Gaza kuna makundi kadhaa yanayopigana dhidi ya Israel kwa lengo moja la kuitetea Palestina na kuulinda masjid al aqsa.
Kila kundi lina wapiganaji wake na hazina ya silaha.Kuna vikundi ya kisunni na mkubwa wao ni Hamas.Kuna vikundi vya mlengo wa kishia wakiongozwa na al qassam brigade.
Cha kushangaza hawajawahi kupigana baina yao na wakati wote wa vita wamekuwa wakifuata amri moja kutoka kwa Hamas.
Nidhamu za hali ya juu ziliooneshwa katika wiki ya usitishwaji vita na kubadilishana mateka umewaduwaza maadui zao vya kutosha.
Mateka huwa hawako kwenye jengo moja fulani kama vile kambi ya kulelea yatima,bali wanashikiliwa vikundi vidogo vidogo kwa familia tofauti.Hata hivyo siku ya kukabidhi mateka,idadi ,muda na wakati vilikwenda sawa sawa.
Kwa pamoja makundi yote hayo yakiwa katikati ya mzingiro unaowanyima mahitaji muhimu ya maisha lakini yote kwa pamoja yamekataa mpango wa Misri wa usitishwaji vita ambao wameuona hauna faida na wao.
Misri imetengeneza mpango huo kwa ombi la Israel lakini masharti yaliyomo hayakuzingatia maslahi ya wapalestina.