Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
wale wanajeshi wa israel wengine wameenda pale sio kwa kupenda, kule kuna sheria ya lazima kwa myahudi kushiriki vita/kuwa mwanajeshi kwa muda fulani, ndio maana majority ya hao wanajeshi wa israel utakuta hawafiki miaka 25. ni vijana wadogo tu, na wengine wametoka reserve huko nchi mbalimbali, walikuwa raia tu wa mtaaani ila walishawahi kutumikia jeshi hivyo wameitwa. tofautisha na hamas ambao wamepikwa na iran na kuiva kama makomandoo. kinachowaokoa israel hapo ni teknolojia na ubora wa silaha tu, ila ukakamavu, hamas wapo juu. ni sawa na wewe mburukuru huna pesa afu unashindana na tajiri, atakushinda tu kwasababu yeye pesa ndio itaongea. sasa kwa hapa israel teknolojia inaongea na ubora wa silaha. silaha walizonazo israel wangekuwa nazo hamas, vita ingeshaisha kitambo.Vita ndio ilivyo au ulitaka wakute casino tables kama za LAS Vegas.Mwanajeshi akianza kulia na kujikojolea kwa kuwepo kwenye vita basi huyo sio mwanajeshi ni mwanamuziki.Vita sio lelemama.