Ushirikiano wa makundi ya kiislamu Gaza ni mfano wa kuigwa Kwa pamoja wamekataa ombi la kusitisha vita

Ushirikiano wa makundi ya kiislamu Gaza ni mfano wa kuigwa Kwa pamoja wamekataa ombi la kusitisha vita

nimewapongeza kwa ushirikiano huo, na kwa kukataa ombi la kusitisha vita. Ila nawashauri pia, wakipigwa na wakiona watu wao wanazidi kuuawa wasirudi kwenye international community kusema tuwasaidie kuzuia Israel inawamaliza watu wake. wakifa wafe wakichekelea wasilie na wasitupigie kelele mambuzi hao.

Ulishaona hamas wanalialia!! Au unakusudia innocent people!

Hamas sio hawa👇
3264950703716782861.jpg.png
 
Hapo mwanza kuna kundi, ,hapo pwani kuna kundi, huko zanziba kuna kundi, jumla tunayo 3 mpaka sasa hivi na tunategemea huenda yataongezeka kutokana na hali ya hewa inatavyoruhusu

Kwa sasa kila kundi lina build customer Base yake kuwa na members wengi, na hii ni ishara yakubomoka kwa ukuta uliojengwa toka enzi za wakoloni, ijapokuwa itachukua muda ukuta wote kuanguka ila inshaallah? Kuna siku mwanga utaonekana upande wa pili wa dunia

Una maana gani sheikh!
 
Ndani ya Gaza kuna makundi kadhaa yanayopigana dhidi ya Israel kwa lengo moja la kuitetea Palestina na kuulinda masjid al aqsa.
Kila kundi lina wapiganaji wake na hazina ya silaha.Kuna vikundi ya kisunni na mkubwa wao ni Hamas.Kuna vikundi vya mlengo wa kishia wakiongozwa na al qassam brigade.
Cha kushangaza hawajawahi kupigana baina yao na wakati wote wa vita wamekuwa wakifuata amri moja kutoka kwa Hamas.
Nidhamu za hali ya juu ziliooneshwa katika wiki ya usitishwaji vita na kubadilishana mateka umewaduwaza maadui zao vya kutosha.
Mateka huwa hawako kwenye jengo moja fulani kama vile kambi ya kulelea yatima,bali wanashikiliwa vikundi vidogo vidogo kwa familia tofauti.Hata hivyo siku ya kukabidhi mateka,idadi ,muda na wakati vilikwenda sawa sawa.
Kwa pamoja makundi yote hayo yakiwa katikati ya mzingiro unaowanyima mahitaji muhimu ya maisha lakini yote kwa pamoja yamekataa mpango wa Misri wa usitishwaji vita ambao wameuona hauna faida na wao.
Misri imetengeneza mpango huo kwa ombi la Israel lakini masharti yaliyomo hayakuzingatia maslahi ya wapalestina.
Hawa jamaa wakija kuwa na taifa lao watapiga hatua kubwa saba kimaendeleo , na kiteknologia

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
mtaweka makundi ila mtakuja kupukutishwa tu mashetani wakubwa nyie. umesahau kigoma, bukoba, tanga, mtwara na wakubwa zenu wakiishi DSM. Mungu anaipenda Tanzania, atawadisclose mmoja baada ya mwingine na mtaisha tu mtuachie hiid unia sisi tunaopenda kuishi tuishi, ninyi tangulieni kwa mabikira 72.
Kuna asilimia kama 30 ya watu wa hii Imani ni watu waovu sana.
Kila kukicha wanapanga mipango ya kuangamiza watu wa Imani nyingine bila sababu kwa kujiona wao ni Bora zaidi.
Hao ndio wanaowakaribisha na kuwaficha magaidi na kufurahia uovu wao.
Lengo wabakie peke yao waitawale Dunia kama wanavyotaka.

Na hawajui kabisa kuwa watawaangamiza watu wasio na hatia sana ila kamwe hawataweza kuitawala Dunia.

Mungu Muumba Mbingu na Nchi hayupo upande wao. Ndio sababu ya kushindwa kwao.
Wapo katika kutapatapa ndani ya giza Totoro.
 
nimewapongeza kwa ushirikiano huo, na kwa kukataa ombi la kusitisha vita. Ila nawashauri pia, wakipigwa na wakiona watu wao wanazidi kuuawa wasirudi kwenye international community kusema tuwasaidie kuzuia Israel inawamaliza watu wake. wakifa wafe wakichekelea wasilie na wasitupigie kelele mambuzi hao.
Ishu ni kwamba, Kuuawa kwa wapalestina wa kawaida hakuwaathiri HAMAS, bali kuuawa kwa HAMAS ndo kungeathiri HAMAS.

Kama Israel haitoitwaa na kuikalia Gaza, basi vita vyake ni mauaji ya bure tu.

Huwezi kuishinda HAMAS kwa kuua raia wa kawaida.
 
Hiv
Hivi ni akina nani wanaolia lia vita isimame? eb twambie ndg Alwaz, ni upande upi au watu gani wanaoomba ceasefire
Wewe kwani uko wapi mbona uko nyuma ya matukio.
Ombi la kutaka kusitishwa vita kwa mara ya pili ili kuwapata mateka limetoka kwa Israel.
Inaonekana kama huamini hizi taarifa.
 
Hawa jamaa wakija kuwa na taifa lao watapiga hatua kubwa saba kimaendeleo , na kiteknologia

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Lazima iwe hivyo.
Wanatumia elimu,akili na juhudi za hali ya juu kabisa.
Angalia walivyojigawa na wanavyoshirikiana wale walio nje ya Gaza na wale walio ndani na mawasiliano yao hayakatiki
Waliosoma siasa vyuo viku ni wanasiasa kweli kweli na waliosomea masomo ya injinia na mainjinia kweli.Viwanda vyao vinatumia malighafi ya mabaki ya vita kutenneneza vitu vizito vinavyoruka mpaka Tela aviv.Miaka ya mwanzo vikombora vyao vilikuwa vinaruka kuvuka mpaka mwisho.
Katika moja ya mikasa askari wa IDF waliyosimulia wenyewe siku moja walipokuwa wakiingia mitaa ya katikati ya Gaza ni kuona periscope kama zile zinazotumiwa na nyambizi.Moja ilichomoza sehemu kama uyoga ikageuka huku na huko kupiga picha halafu ikazama chini.Muda si muda wakapigwa na kitu kisichokuwa cha kawaida kutoka juu yao.
 
Ishu ni kwamba, Kuuawa kwa wapalestina wa kawaida hakuwaathiri HAMAS, bali kuuawa kwa HAMAS ndo kungeathiri HAMAS.

Kama Israel haitoitwaa na kuikalia Gaza, basi vita vyake ni mauaji ya bure tu.

Huwezi kuishinda HAMAS kwa kuua raia wa kawaida.
wale hamas hakuna ambaye hajauliwa ndugu, na hakuna nyumba ya hamas hata moja ipo imesimama. kuna hamas wengine amepoteza mama, baba, mke na watoto amebaki peke yake, amekazania kusema "wafia dini - martyrs" ila mioyo inawauma sana. kiukweli ni kwasababu tu wameshaingia vitani hawana kurudi nyuma, ila wangejua kingetokea hiki wala wasingalianzisha ile vile. wengi walitegemea kwasababu Isael hayajui mahandaki, basi lile shambulio lingesababisha wayahudi maelfu kuuawa na wao wangeipora kabisa ile ardhi kwa msaada wa hezbollah, lakini hivi tunavyoongea makamanda wa hezbollah waliouliwa ni 132. ndio maana hezbollah hapigi kila siku, anapiga kwa kuvizia kwasababu kila akipiga majibu anayoletewa ni mara 100 ya vile alivyoshambulia israel. wamejijenga sana Lebanon na wanaogopa majengo waliyogarimia yasije kuwa kama gaza.
 
Ulishaona hamas wanalialia!! Au unakusudia innocent people!

Hamas sio hawa👇View attachment 2853396
waisrael wamelelewa kwa tabia njema tena za kimagaribi, ndio maana walipoenda Gaza wanashindwa kuvumilia, mioyo inawauma. kule ni hatari, unaambiw akutembea sehemu ukakuta paka anakula mzoga wa mtu ni kitu cha kawaida, kukuta katoto kadogo kamesambaratishwa na bom, kamekandamizwa na matofali jengo limedondoka ni kawaida. kwa mtu yeyote mwenye moyo mzuri, unaweza hata kuchanganyikiwa. Hamas wao hicho ni kitu cha kawaida kwasababu wamefundishwa na wamepractice kuua mtu, kuchinja mtu, ni kitu cha kawaida kwao.
 
wale hamas hakuna ambaye hajauliwa ndugu, na hakuna nyumba ya hamas hata moja ipo imesimama. kuna hamas wengine amepoteza mama, baba, mke na watoto amebaki peke yake, amekazania kusema "wafia dini - martyrs" ila mioyo inawauma sana. kiukweli ni kwasababu tu wameshaingia vitani hawana kurudi nyuma, ila wangejua kingetokea hiki wala wasingalianzisha ile vile. wengi walitegemea kwasababu Isael hayajui mahandaki, basi lile shambulio lingesababisha wayahudi maelfu kuuawa na wao wangeipora kabisa ile ardhi kwa msaada wa hezbollah, lakini hivi tunavyoongea makamanda wa hezbollah waliouliwa ni 132. ndio maana hezbollah hapigi kila siku, anapiga kwa kuvizia kwasababu kila akipiga majibu anayoletewa ni mara 100 ya vile alivyoshambulia israel. wamejijenga sana Lebanon na wanaogopa majengo waliyogarimia yasije kuwa kama gaza.
Yaani kumbe Israhell anapelekewa moto hadi chumbani kwake?

Mbona kwenye vyombo vya habari tunaambiwa ni nchi iliyojaa teknolojia ya hali ya juu ku detect makombora kabla hayatua katika ardhi yao kumbe propaganda?
 
wale hamas hakuna ambaye hajauliwa ndugu, na hakuna nyumba ya hamas hata moja ipo imesimama. kuna hamas wengine amepoteza mama, baba, mke na watoto amebaki peke yake, amekazania kusema "wafia dini - martyrs" ila mioyo inawauma sana. kiukweli ni kwasababu tu wameshaingia vitani hawana kurudi nyuma, ila wangejua kingetokea hiki wala wasingalianzisha ile vile. wengi walitegemea kwasababu Isael hayajui mahandaki, basi lile shambulio lingesababisha wayahudi maelfu kuuawa na wao wangeipora kabisa ile ardhi kwa msaada wa hezbollah, lakini hivi tunavyoongea makamanda wa hezbollah waliouliwa ni 132. ndio maana hezbollah hapigi kila siku, anapiga kwa kuvizia kwasababu kila akipiga majibu anayoletewa ni mara 100 ya vile alivyaoshambulia israel. wamejijenga sana Lebanon na wanaogopa majengo waliyogarimia yasije kuwa kama gaza.

Nakwambia hivi, Huwezi kuwashinda HAMAS kwa kuua Raia wa kawaida Laki moja!, au hata laki tano!. HAMAS itashindwa kwa kuwaua HAMAS na siyo watoto wadogo ktk incubator
 
waisrael wamelelewa kwa tabia njema tena za kimagaribi, ndio maana walipoenda Gaza wanashindwa kuvumilia, mioyo inawauma. kule ni hatari, unaambiw akutembea sehemu ukakuta paka anakula mzoga wa mtu ni kitu cha kawaida, kukuta katoto kadogo kamesambaratishwa na bom, kamekandamizwa na matofali jengo limedondoka ni kawaida. kwa mtu yeyote mwenye moyo mzuri, unaweza hata kuchanganyikiwa. Hamas wao hicho ni kitu cha kawaida kwasababu wamefundishwa na wamepractice kuua mtu, kuchinja mtu, ni kitu cha kawaida kwao.
Vita ndio ilivyo au ulitaka wakute casino tables kama za LAS Vegas.Mwanajeshi akianza kulia na kujikojolea kwa kuwepo kwenye vita basi huyo sio mwanajeshi ni mwanamuziki.Vita sio lelemama.
 
Vita ndio ilivyo au ulitaka wakute casino tables kama za LAS Vegas.Mwanajeshi akianza kulia na kujikojolea kwa kuwepo kwenye vita basi huyo sio mwanajeshi ni mwanamuziki.Vita sio lelemama.Unapokuwa mwanajeshi unafundishwa kucheza monopol?
 
mwenyezi mungu yuko pamoja na wanaoipigania dini yake,

kila siku nawaombea kwa Allah makafir washindwe Palestine, naamin watashindwa inshaallah

Kwani kinachoendelea pale ni vita ya dini ya Mungu siyo tena ya ardhi ya Wapalestina?

Ni kusema hii vita inabadilika maana kadiri siku zinavyokwenda?interesting!!!
 
Yaani kumbe Israhell anapelekewa moto hadi chumbani kwake?

Mbona kwenye vyombo vya habari tunaambiwa ni nchi iliyojaa teknolojia ya hali ya juu ku detect makombora kabla hayatua katika ardhi yao kumbe propaganda?
kama ulikuwa hujui, isingekuwa teknolojia yao, leo hii israel pangekuwa makazi ya popo. kwasababu HAMAS wamerusha rocket zaidi ya 7,000 na nyingi zimedakwa, hakuna iliyoua raia hata moja. na zinadakwa na iron dom automatically. pia, kitu pekee kimewapa nguvu hamas ni kwasababu wanapigana vita vya mtaani wakiwa wamejichanganya na raia, na wamelenga hivyo ili israel akiwapiga apige raia na jumuiya ya kimataifa imlaumu israel, na israel anaogopa kuchukiwa bila sababu anataka kuuthibitishia ulimwengu kwamba yeye anafuata sheria za vita hauwi raia jambo linalompa wakati mgumu sana kwasababu hamas miundombinu yote ya vita wameiweka katikati ya raia, shule na hospitali. strategically kuweka miundombinu ya vita karibu na shule au hospitali au katikati ya eneo kama kariakoo (with support of all other civilians), inamfanya israel ashindwe kupiga holela. ila wangekuwa eneo lisilo na raia, hii vita ingeshaisha zamani sana. na hii ndio tofauti ya israel kama ingepigana na nchi na nchi, mfano iran na israel, wangepigana kwa sheria za vita hakuna wa kujificha kwa raia, hapo ndio ungeijua vizuri israel. ukienda kwa huthi wa yemen, nao ni wale wale, ni kikundi cha waasi, watajificha tu kwa raia. hata hezbollah wanapiga kelele kwamba wamewashinda israel ni kwasababu wanajificha kwa raia na kupiga, ila wangekuwa eneo jeupe wote wawili hawachukui round. hivi unafikiri inamchukua muda gani Israel kufuta gaza kama pasingekuwa na watu, au Beirut kama pasingekuwa na raia?
 
Nakwambia hivi, Huwezi kuwashinda HAMAS kwa kuua Raia wa kawaida Laki moja!, au hata laki tano!. HAMAS itashindwa kwa kuwaua HAMAS na siyo watoto wadogo ktk incubator
umeambiwa hamas hawafi? au tukuwekee video hapa wakifumuliwa. kuna vita inapiganwa huko hadi hamas wengine wanajisalimisha, wanatambuliwa kama walishiriki. juzi wamechambua wote walioshiriki na wanaoonekana ni pure hamas, wamewachinja wote, jambo ambalo kwangu sifurahii.
 
Back
Top Bottom