Ushirikiano wa makundi ya kiislamu Gaza ni mfano wa kuigwa Kwa pamoja wamekataa ombi la kusitisha vita

Vita ndio ilivyo au ulitaka wakute casino tables kama za LAS Vegas.Mwanajeshi akianza kulia na kujikojolea kwa kuwepo kwenye vita basi huyo sio mwanajeshi ni mwanamuziki.Vita sio lelemama.
wale wanajeshi wa israel wengine wameenda pale sio kwa kupenda, kule kuna sheria ya lazima kwa myahudi kushiriki vita/kuwa mwanajeshi kwa muda fulani, ndio maana majority ya hao wanajeshi wa israel utakuta hawafiki miaka 25. ni vijana wadogo tu, na wengine wametoka reserve huko nchi mbalimbali, walikuwa raia tu wa mtaaani ila walishawahi kutumikia jeshi hivyo wameitwa. tofautisha na hamas ambao wamepikwa na iran na kuiva kama makomandoo. kinachowaokoa israel hapo ni teknolojia na ubora wa silaha tu, ila ukakamavu, hamas wapo juu. ni sawa na wewe mburukuru huna pesa afu unashindana na tajiri, atakushinda tu kwasababu yeye pesa ndio itaongea. sasa kwa hapa israel teknolojia inaongea na ubora wa silaha. silaha walizonazo israel wangekuwa nazo hamas, vita ingeshaisha kitambo.
 
Duh!...
 
gaza inakuwa majivu watieni kiburi hatutaki #pray palestine
 
Duh!... makundi ya nini tena hayo ? Na sababu za uwepo wake ni Nini hasa ?
Hiyo ni code mkuu wala haiusiani na kichwa cha habari, ngoja niweke wazi hiyo n CCM

Wasije wakanitafuta hawa polisi waliokosa kazi kuanza kuomba ushirikiano
 
Ooooh!....Makundi ndani ya Ccm hayaepukiki kuanzia mwakani tutashuhudia mengi sana kwenye hicho chama Chakavu.
 
Kumbe kweli ni makundi ya kiislamu, mbona huwa mnayakana tena baadae!
 
Yaani mpaka serikali ya Fatah haijawaacha mkono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…