100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 4,766
- 16,191
Wapuuzi hao waongo na huyo anayetangaza hizo habari naye ni mpenda sifa tu anatafuta ViewsView attachment 2839930
aliponywa na Yesu, UCHAWI UPO !! Tusione aibu kuukemea, vitendo hivi havikubaliki.
Uchawi upo kwajili ya kuumiza watu, sio maendeleo.Kama watu wana uchawi wa level hizi si wautumie kupata maendeleo.
Uchochezi huuKwa kigoma sishangai mbona hata huyu naniliu alirest in peace ila juzi kaibuka...ndio zao watu wa kigoma[emoji125]
Una hakika mwanasheria wako yupo hai?Kwa kigoma sishangai mbona hata huyu naniliu alirest in peace ila juzi kaibuka...ndio zao watu wa kigoma🏃
Iringa sehemu gani kuna ushirikina sana?iringa
Sasa hapa unabisha nini?Uongo, Uzushi, Umbea
Thibitisha kama ni kweli.HIYO ni natural science ambayo ninyi wasomi mnapaswa kuitumia kutafiti iwapo yaweza kutumika vizuri ikaleta manufaa kwa jamii na taifa
Nani huyo? Kama ni ' Mugabo' taja jina lake. Au mpaka Nape akupe ruksa?Kwa kigoma sishangai mbona hata huyu naniliu alirest in peace ila juzi kaibuka...ndio zao watu wa kigoma🏃
zee la mipango katika nchi ya vituko chanel namba 1 huko mbinguniKwa kigoma sishangai mbona hata huyu naniliu alirest in peace ila juzi kaibuka...ndio zao watu wa kigoma🏃
Kama kwa Yesu na LazaroNi promo ya mganga au nabii.. Mtu akifa hawezi fufuka