hahaha always done
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 1,126
- 1,973
Wanawake hawapitwi, hiyo style ya nywele walishaiga kwa misukule kitambo😆😆😆😆
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtupe maua yetu au vp😄kigoma 👐
Kabisa. Chukueni hayo🌻🌹🌼🌷🌷Mtupe maua yetu au vp😄
Umeelewa nilichoandika?Thibitisha kama ni kweli.
For sure kbsHii sayansi tungeitumia vizuri asee tungekuwa mbali mno. 😀
Kwaiyo kigoma tupo on trending chief😄Kabisa. Chukueni hayo🌻🌹🌼🌷🌷
Hakuna kufufuka, ama hakufariki na walizika mtu mwingine kimakosa au anafanamushwa na mtu aliyefarikiJeshi la Polisi Mkoani Kigoma limetoa ufafanuzi juu ya taarifa za Mwanamke mmoja wa miaka 40 Mkazi wa Kazegunga ambaye anadaiwa kuonekana November mwaka huu baada ya kufariki October 17,2018 wakati akijifungua Mtoto katika Hospitali ya Baptist iliyopo Halmashauri ya Manispaa Kigoma Ujiji na kuzikwa Kazegunga alipokua kaiishi.
Kamanda wa Polisi Mkoani Kigoma Filemon Makungu amesema kuna matukio mawili ya Watu ambao wameonekana wakiwa hai ingawa Familia wamesema walifariki “Matukio haya tumeyafatilia yote na inatakiwa kuthibitisha kisayansi tumeshapeleka vipimo kwa Mkemia Mkuu bado hatujaletewa majibu tukiletewa tutatoa maelezo yaliyokamilika lakini kwa matukio haya mawili bado upelelezi tunaendelea nao kujua kwa kina zaidi ili kujua ukweli wa yule aliyefariki na huyu aliyeokotwa akiwa hai”
Mwezi November mwaka huu Familia ilisema Mpendwa wao huyo alionekana katika eneo la Ilagala Wilayani Uvinza ambapo miezi 11 iliyopita tukio kama hili la Mtu kufariki kisha kuzikwa na kuonekana tena lilitokea Kijiji cha Kandaga Wilayani UVinza Mkoani Kigoma ambapo pia mazingira yake yanahusishwa na imani za kishirikina kutumika kupoteza Watu na kuonekana tena baada ya muda mrefu kupita.
AyoTV mpaka sasa imeshawahi kuripoti matukio matano kama haya ya kusemekana Mtu amefariki na kuzikwa na baadaye Ndugu kudai wamemuona tena Ndugu yako akiwa hai, matukio hayo yametokwa mwaka 2018 Kasulu, mwaka 2020 Kasulu, mwaka 2021 Kasulu, mwaka 2022 Uvinza na mwaka 2023 Kigoma DC.
#MillardAyoUPDATES
View attachment 2839832
Hii mwenyew ubongo bado haukai vizuriHakuna kufufuka, ama hakufariki na walizika mtu mwingine kimakosa au anafanamushwa na mtu aliyefariki
Mna vipimo vya kuthibitisha hiyo sayansi?lakini kwa matukio haya mawili bado upelelezi tunaendelea nao kujua kwa kina zaidi ili kujua ukweli wa yule aliyefariki na huyu aliyeokotwa akiwa hai”
Hivi kiongozi yule huwa anasimama majukwaani kuwananga wanaoogopeka si anatokea huko? Kuna mwaka inasemekana aliwashughulikia greens kama wanne hiviJeshi la Polisi Mkoani Kigoma limetoa ufafanuzi juu ya taarifa za Mwanamke mmoja wa miaka 40 Mkazi wa Kazegunga ambaye anadaiwa kuonekana November mwaka huu baada ya kufariki October 17,2018 wakati akijifungua Mtoto katika Hospitali ya Baptist iliyopo Halmashauri ya Manispaa Kigoma Ujiji na kuzikwa Kazegunga alipokua kaiishi.
Kamanda wa Polisi Mkoani Kigoma Filemon Makungu amesema kuna matukio mawili ya Watu ambao wameonekana wakiwa hai ingawa Familia wamesema walifariki “Matukio haya tumeyafatilia yote na inatakiwa kuthibitisha kisayansi tumeshapeleka vipimo kwa Mkemia Mkuu bado hatujaletewa majibu tukiletewa tutatoa maelezo yaliyokamilika lakini kwa matukio haya mawili bado upelelezi tunaendelea nao kujua kwa kina zaidi ili kujua ukweli wa yule aliyefariki na huyu aliyeokotwa akiwa hai”
Mwezi November mwaka huu Familia ilisema Mpendwa wao huyo alionekana katika eneo la Ilagala Wilayani Uvinza ambapo miezi 11 iliyopita tukio kama hili la Mtu kufariki kisha kuzikwa na kuonekana tena lilitokea Kijiji cha Kandaga Wilayani UVinza Mkoani Kigoma ambapo pia mazingira yake yanahusishwa na imani za kishirikina kutumika kupoteza Watu na kuonekana tena baada ya muda mrefu kupita.
AyoTV mpaka sasa imeshawahi kuripoti matukio matano kama haya ya kusemekana Mtu amefariki na kuzikwa na baadaye Ndugu kudai wamemuona tena Ndugu yako akiwa hai, matukio hayo yametokwa mwaka 2018 Kasulu, mwaka 2020 Kasulu, mwaka 2021 Kasulu, mwaka 2022 Uvinza na mwaka 2023 Kigoma DC.
#MillardAyoUPDATES
View attachment 2839832
Huwezi kukuta habari kama hii inaripotiwa CNN
Media kubwa zinajua ni kiasi gani habari za uongo zinaweza kui gharimu media kibiashara.
Huko ndiko wamejaa wachawi wenyewe! Usikilize vizuri ule wimbo wa DR Remmy, uitwao MREMA!Daaaa! Tanzania hii jaman? Yaan wanaroga wasio na hatia badala ya kuroga matapeli na mafisadi ya chama cha maigizo (CCM)
Nimecheka kwa sauti, mpaka nikastua watu!Kwa kigoma sishangai mbona hata huyu naniliu alirest in peace ila juzi kaibuka...ndio zao watu wa kigoma[emoji125]
Umesha wekwa kwenye WANTED YA NAPE!Hawa watani zangu watu wa chigoma wapo vizuri kwenye kufufuka, maana kuna mmoja kafufukia majuzi pale kanisani.
Lakini pale tu ambapo interests za magharibi ni finyu. Lakini pale ambapo interests zao zipo watasema uongo, kama tunayo ya sikia kwenye vita vya Israel na Hamas mara oh makao makuu ya Hamas yako chini ya hospitali. Walipo I chukua hiyo hospital hatukuona hao mateka wala nini.Huwezi kukuta habari kama hii inaripotiwa CNN
Media kubwa zinajua ni kiasi gani habari za uongo zinaweza kui gharimu media kibiashara.
Tuanze na weweLakini pale tu ambapo interests za magharibi ni finyu. Lakini pale ambapo interests zao zipo watasema uongo, kama tunayo ya sikia kwenye vita vya Israel na Hamas mara oh makao makuu ya Hamas yako chini ya hospitali. Walipo I chukua hiyo hospital hatukuona hao mateka wala nini.
Kabisaa😅Kwaiyo kigoma tupo on trending chief😄