Ushirikina Kigoma: Mwanamke aliyefariki Oktoba 2018 na kuzikwa aonekana akiwa hai

Hawa watani zangu watu wa chigoma wapo vizuri kwenye kufufuka, maana kuna mmoja kafufukia majuzi pale kanisani.
 
Daaaa! Tanzania hii jaman? Yaan wanaroga wasio na hatia badala ya kuroga matapeli na mafisadi ya chama cha maigizo (CCM)
Inaelekea uchawi hauendi kwa fisadi. Fisadi lazima awe yuko fiti ndio maana wakina msukuma wanalia bungeni kwa uchungu wakitoks wanasahau kumshughulikia fisadi hayo yanapita wanasubiri kulia tena bunge lijalo
 
Thibitisha kama ni kweli.
Kuna vitu hata sayansi imeshindwa kuthibitisha uwepo wake. mfano kuna kitu kinaitwa black matter, hakionekani hakithibitishiki lakini dalilu zinaonyesha kuwa kipo na ndio kinachangua sehemu kubwa uzito wa universe.
Kuna pia sayari ya tisa. Miaka na miaka tangu enzi inaaminika ipo, hadi brhavior ya gravitation force eneo fulani linaonyesha itakuwepo lakini hakuna ambaye amethibitisha uwepo wake wala kuiona japo watu kibao wamejaribu.
Huenda njia za uthibitishaji haziko sahihi kama ambavyo njia za kuthubitisha uchawi huwezi kutumia vifaa vya sayansi ya kawaida maana haufanyi kazi kama sayansi ya kawaida.
 
Alizikwa wapi? Nani alihudhuria mazishi yake? Msiba ulikua wapi? Waliaga mwili? Wameenda alipozikwa kujionea nini kinaendelea?

Story za Uchawi huwa na loopholes nyingi sana zinazohitaji common sense ndogo tu kung'amua ndo maana nasema wanaoamini Uchawi ni watu wajinga na maskini.
 
Kiranga
Kuna vitu hata sayansi imeshindwa kuthibitisha uwepo wake. mfano kuna kitu kinaitwa black matter, hakionekani hakithibitishiki lakini dalilu zinaonyesha kuwa kipo na ndio kinachangua sehemu kubwa uzito wa universe.
Kuna pia sayari ya tisa. Miaka na miaka tangu enzi inaaminika ipo, hadi brhavior ya gravitation force eneo fulani linaonyesha itakuwepo lakini hakuna ambaye amethibitisha uwepo wake wala kuiona japo watu kibao wamejaribu.
Huenda njia za uthibitishaji haziko sahihi kama ambavyo njia za kuthubitisha uchawi huwezi kutumia vifaa vya sayansi ya kawaida maana haufanyi kazi kama sayansi ya kawaida.
 
Kwa kigoma sishangai mbona hata huyu naniliu alirest in peace ila juzi kaibuka...ndio zao watu wa kigoma[emoji125]

Acha hizo mkuu
Kuwa na ubinadamu hata kwa 2%.
 
Kuna vitu hata sayansi imeshindwa kuthibitisha uwepo wake. mfano kuna kitu kinaitwa black matter, hakionekani hakithibitishiki lakini dalilu zinaonyesha kuwa kipo na ndio kinachangua sehemu kubwa uzito wa universe.
Kuna pia sayari ya tisa. Miaka na miaka tangu enzi inaaminika ipo, hadi brhavior ya gravitation force eneo fulani linaonyesha itakuwepo lakini hakuna ambaye amethibitisha uwepo wake wala kuiona japo watu kibao wamejaribu.
Huenda njia za uthibitishaji haziko sahihi kama ambavyo njia za kuthubitisha uchawi huwezi kutumia vifaa vya sayansi ya kawaida maana haufanyi kazi kama sayansi ya kawaida.
Sijakuelewa kabisa. Uliandika ukowa umelewa nini?
 
Back
Top Bottom